Natamani kuwa na mwisho mwema kama Babu wa Loliondo

Mbona Gwajima akisema anafufua misukule kwa sababu katumwa na Mungu humuamini?
Kwakuwa yeye si Babu wa Loliondo.. Nilichagua kumwamini babu kutokana na background yake kama nilivyoelezea na nimechagua kutomwamini Gwajima kutokana na background yake pia..
Zaidi babu hakuwahi kusema anafufua wafu..!
 
Gwajima nimemtolea kama mwakilishi wa wanaohudumu kwenye madhabahu za makanisa mapya...

Anyway, all in all yule mzee wa Loliondo kile alichofanya kilikuwa ni chenga tu, yale yalikuwa ni mauzauza kama madogoli mengine tu...
 
Huyo babu aliwaingiza watu mjini mkuu mshana jr, eti alioteshwa na Mungu 🤣🤣 wengine wakaamini, dawa yenyewe haikusaidia watu, ile ni njia ya kuwala hela tu, na alizikusanya.
 
Gwajima nimemtolea kama mwakilishi wa wanaohudumu kwenye madhabahu za makanisa mapya...

Anyway, all in all yule mzee wa Loliondo kile alichofanya kilikuwa ni chenga tu, yale yalikuwa ni mauzauza kama madogoli mengine tu...
makanisa mapya ndo yapi hayo
 
Hiki ni mojawapo ya kifo cha furaha nilichowahi kushuhudia ...! Mzee Mwasapile almaarufu kama Babu wa Loliondo ametwaliwa kutoka maisha haya.. Mwendo ameumaliza salama ... Kwa amani na kwa furaha... Alimuishi Kristo Yesu akamtumikia Mungu kwa uaminifu mkubwa
Maneno ya
Mambo ya rohoni ufahamika kwa njia ya roho. Ni wale walio na Roho wa Mungu ndio wanaweza kuyajua mambo ya rohoni.
Siyo watu wote wanaosema, Bwana, Bwana ni watumishi wa Bwana Yesu Kristo wa kweli na haki. Ninyi huangalia mambo kwa jinsi ya mwili. Mmepotoka.

Kitendo cha huyu mzee na dawa yake ya kikombe unafikiri ulikuwa ni mpango wa Bwana Yesu Kristo?
Mwenyezi Mungu hakuwa na mkono wake ktk uongo ule; Na kama haukuwepo, basi, kazi ile ilitoka upande wa pili wa Yule Mwovu.
Mtume Paulo ktk kitabu cha Timotheo, mwanae ktk imani, anatuasa kuwa watauwa na kutosheka na hali tuliyonayo ni jambo lenye manufaa kubwa; kwa sababu, hapa duniani tulikuja uchi na tutaondoka vivyo hivyo uchi kama mzee huyu alivyoondoka.

Anaendelea kutufundisha kuwa, kupenda pesa ndiyo shina la maovu yote tuyashuhudiayo hapa Duniani.
Kwa jumla, "kikombe cha Babu" ulikuwa mpango uliotengenezwa na kuratibiwa kwa umakini mkubwa na shetani-ibilisi ili kuwaingiza ktk maagano ya kishetani na kisha kuwaua ili awavune kuzimu.
 
Gwajima nimemtolea kama mwakilishi wa wanaohudumu kwenye madhabahu za makanisa mapya...

Anyway, all in all yule mzee wa Loliondo kile alichofanya kilikuwa ni chenga tu, yale yalikuwa ni mauzauza kama madogoli mengine tu...
Ok sawa nimekupata vema
 
Kupitia hiyo tiba tuliwaona manabii na mitume wengi katika rangi zao halisi..Wivu ukawajaa na kuanza kumshambulia babu kwa kila hali..LAKINI KAMWE HAKUJIBIZANA NAO..Alimuachia Mungu aseme nao...

Natamani kuwa na mwisho mema kama yeyeMungu nisaidie

Hakika Mungu amesikia maombi yako. "Haujawahi kujibizana na wanaokusema vibaya." Amini kinywa huumba na imani ni kua na hakika. Mungu azidi kukupa hekima hata uzeeke na miaka ya ziada.
 
Back
Top Bottom