Natamani kuwa mtunzi mwandishi wa hadithi, riwaya nk

Behind the camera

JF-Expert Member
Jan 12, 2019
315
740
Habari ya mwisho wa mwezi wakuu.

Binafsi nimetokea kupenda hii fani ya mambo ya fasihi. Lakini kwa upande wa elimu yangu ni ndogo, niliishia kidato cha 4 miaka 12 iliyopita na sikuendelea tena na masomo.

Je, nawezaje kuwa mjuzi wa fani hiyo tajwa hapo juu?

Ushauri/maelekezo yanaombwa

Asante.

images.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom