Natamani kuvuta bange!

Smile

JF-Expert Member
Jul 18, 2011
15,347
11,610
Naomba kama huna ushauri wa maana usicomment hapa please sitaki ugomvi na mtu huku.. Ok tuendelee.

Kwanza napenda kumshukuru mungu juzi last week nilitimiza miaka kadhaa kwa kweli mimi ni mtu mzima sasa sitaki kurudia tena makosa ya utotoni/ujanani. Sasa bwana mimi nina shida moja kutokana na huu uzee nilioingia sometimes nakuwa ni mtu wa hasira hasira na huzuni sana hata kwa vitu vidogo... So natafuta kitu ambacho nitakuwa nafanya ili mind yangu irelax nimenotice ukiwa na accumulation ya vitu kichwani ..unakuwa haupo happy saana!

Naweza kukumbuka hata jambo la huzuni la mwaka juzi naumiaa!sasa nataka nijaribu kitu ambacho kwa muda flani kinanipeleka dunia ingine rafiki zangu walinifundisha pombe ila mimi imenishinda naona chungu sana .. halafu kesho yake kichwa kinauma kama kinataka kutoka nimeshindwa kabisa. Unga nao naona ule unakuwa jinga sana tena useless huku duniani.

Mashost wameniambia bange haina madhara tena inakufanya uwe na nguvu mara mbili eti. Naombeni ushauri...

Copy kwa wavuta bange wote humu ndani kama wapo
 
Naomba kama huna ushauri wa maana usicomment hapa please sitaki ugomvi na mtu huku
ok tuendelee
kwanza napenda kumshukuru mungu juzi last week nilitimiza miaka kadhaa kwa kweli mimi ni mtu mzima sasa
sitaki kurudia tena makosa ya utotoni/ujanani
sasa bwana mimi nina shida moja kutokana na huu uzee nilioingia sometimes nakuwa ni mtu wa hasira hasira na huzuni sana hata kwa vitu vidogo...so natafuta kitu ambacho nitakuwa nafanya ili mind yangu irelax nimenotice ukiwa na accumulation ya vitu kichwani ..unakuwa haupo happy saana!
Naweza kukumbuka hata jambo la huzuni la mwaka juzi naumiaa!sasa nataka nijaribu kitu ambacho kwa muda flani kinanipeleka dunia ingine
rafiki zangu walinifundisha pombe ila mimi imenishinda naona chungu sana ..halafu kesho yake kichwa kinauma kama kinataka kutoka nimeshindwa kabisa
unga naO naona ule unakuwa jinga sana tena useless huku duniani
mashost wameniambia bange haina madhara tena inakufanya uwe na nguvu mara mbili eti
naombeni ushauri...
Copy kwa wavuta bange wote humu ndani kama wapo

Smile ni yule ninayemfahamu humu jamvini au ni wa kusadikika.
Umeniacha hoi! ni-PM tuongee please!
 
my friend, shetani ni mbaya sana...liitie jina la yesu, omba utisho dhidi ya pepo wabaya, jiombee rehema na baada ya hapo, kubali kuwa mtoto wa yesu!..huatajuta, ni raha tele,maisha bure,kwa kuwa dereva wako ni ni yesu, sheyani hataomba rift...
yesu ni rafiki yangu sana tu..kwa kweli na kanisaidia mengi sana hata hapa nilipo ni yeye tu
 
Wazo zuri, ila haitakuondolea shida zako. Cha msingi shughulikia shida zako ndipo utakapo pata furaha ya kudumu.
 
Mbona poa tu hiyo kitu Smile?
Yaani ukipiga hiyo kitu mawazo mawazo yasiyo na maana hakuna kabisa.

"Cha Arusha" for life!!
 
Last edited by a moderator:
wazo zuri, ila haitakuondolea shida zako. Cha msingi shughulikia shida zako ndipo utakapo pata furaha ya kudumu.
sina shida kiivo kaka naridhika na nilichonacho sema nataka kuvusha kwa muda nile raha kama wengine sio kila saa unaona tu dunia hivi hivi
 
Mkuu Smile Ganja,bange,kitu,marijuana,kijiti...
Za bongo sio kali kama vp tafuta ya Jamaica,lazima uta relax!

ZA KUAMBIWA...
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaaaaaa! (Its not a laughing matter!)

Ukisikia YALAAAAAAAAH!!!!!! Ujue mtu mzima mwenzio yamemfika na yamemshika pabaya!!!!!!!!!!!!!!!!!

Mi nakushauri uangalie KOREAN MOVIES ni VERY ADDICTIVE KULIKO BANGE!

Anza na zifuatazo

Worrior Don Soo

The princess's man

City Hunter

The Land of Wind

The painter!!!!!!!
 

Similar Discussions

8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom