Natamani kutengeneza filamu ya 24 hrs before Hamza's death, naomba ushauri

Kwa hii comment jua hutouza hata copy moja maana mtazamo wa WaTz wengi ni tofauti na wako, unless uuze ki propaganda tu.
Kwa utafit nilioufanya ktk maeneo machache watz wengi wanamshawasha wa kujua yaliyojir ktk lile tukio
 
Habarini wadau nimepata wazo la kutengeneza muvi linalomuhusu yule jamaa wa kisomali na kichwa cha habari hapo juu ndio jina husika.

Lakini kabla ya kuingia mzigon nimeona nije kushea na wanangu wa faida kuhusu huu mradi labda nitapata washirika wa kimawazo au kimtaji ukizingatia mpaka sasa stori yenyewe bado haipo sawa lkn kupitia humu nadhan watapatikana wadau ambao wanamjua mshkaj walau kwa uchache ili kupata stor ikiwa vzr.

Mtaji mpaka sasa ni m5 ila km nilivyosema akipatikana mdau tunaweza jadili tuone tunafanyaje ili tuweze fanikisha hili zoez.
Nashauri iwe mfumo wa Documentary,unaweza pata ushirikiano toka vyombo mbalimbali.. ikishindikana kabisa.. endelea kuuza viatu..

Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
 
Kuna production unaweza fanya na hata usikwaruzane na vyombo vya usalama...why bother ?
Kwanza hiyo industry wengi hawajui.
 
Lengo nataka ibez kutokana na story ya kwel kumhusu huyo mwamba unadhan ugaid utakwepeka hapo???
Ugaidi utakwepeka vizuri tu, Sasa chukulia Lisa Cha Ugaidi....hafu weka kisa Cha kutunga Kuhusu jamaa anavyohangaika na Uchimbaji madini kwa mazingira magumu, hafu analeta Mzigo mjini, anapeleka Kwa buyer, yanatokea tuliyosikia hafu anafanya alichofanya, so Movie ihusishe uonevu wa Askari kwa Raia kwenye deals tofauti, so ule uovu wote unauanika hapo, issue za jamaa wa Mahenge wa Madini, na mishe Zote mbovu...

Kubambikizia watu kesi n.k Kama Movie ikifanyika kwa kiwango, utaiuza nje......Tena napendekeza mpaka jina iitwe MR. POLICEMAN.
 
Au labda niige muundo wa muvi ya deja vu ya D.Washington kwamba hayo yote ya jamaa kuzulumiwa yanatokea lkn miongon mwa askar wanasema hapana hili linaenda kinyume na taratibu zetu
 
Kuna production unaweza fanya na hata usikwaruzane na vyombo vya usalama...why bother ?
Kwanza hiyo industry wengi hawajui.
Na ndio maana naanzia humu kwa magrit thinka walau naweza pata wigo mpana zaid wa mawazo
 
Au labda niige muundo wa muvi ya deja vu ya D.Washington kwamba hayo yote ya jamaa kuzulumiwa yanatokea lkn miongon mwa askar wanasema hapana hili linaenda kinyume na taratibu

Au labda niige muundo wa muvi ya deja vu ya D.Washington kwamba hayo yote ya jamaa kuzulumiwa yanatokea lkn miongon mwa askar wanasema hapana hili linaenda kinyume na taratibu zetu
Wacha Movie yako itembee kwa jamaa kuwa mchimbaji madini, kwanza Kuna Mambo kibao ya kuonyesha kuhusu Uchimbaji Dhahabu.....

Then hata Statement ya Police ikitoka kuhusu Ugaidi!? But mwelekeo wa Movie isiwe huko..,.
 
Poa
 
Back
Top Bottom