Natamani kutengeneza filamu ya 24 hrs before Hamza's death, naomba ushauri

kidonto

JF-Expert Member
Jan 5, 2014
1,077
2,000
Kwa nin nikamatwe,haitoenda tofaut na mtazamo wa jamaa alikua gaid na kuwakumbusha vijana kuwa ugaid si mzur
Sasa hapo ndo utaharibu, Kama lengo lako ni kufanya Movie ambayo angalau, narudia Tena angalau unaweza kukusogeza nje ya Tanzania, hiyo Movie isiingie kwenye Mambo ya Ugaidi....
 
Muuza viatu

JF-Expert Member
May 14, 2020
3,031
2,000
Sasa hapo ndo utaharibu, Kama lengo lako ni kufanya Movie ambayo angalau, narudia Tena angalau unaweza kukusogeza nje ya Tanzania, hiyo Movie isiingie kwenye Mambo ya Ugaidi....
Lengo nataka ibez kutokana na story ya kwel kumhusu huyo mwamba unadhan ugaid utakwepeka hapo???
 
Smart911

JF-Expert Member
Jan 3, 2014
70,632
2,000
Kila la kheri, uchunguzi umeamua kuuanzia humu JF...

Documentary itapendeza zaidi...
 
Ambition plus

JF-Expert Member
Feb 23, 2018
4,212
2,000
Na kwa nin haunishaur namna nzur ya kunufaika ktk hii tasnia lkn unanitoa mazima au labda sio eneo lako hili???
Nafanya beauty photography na videography..
Kwa idea yako na siasa za bongo hutoboi,wewe unataka kufanya kitu serikali inataka na sio jamii inataka nini.

Serikali inamwona hamza kama Gaidi
Na jamii inamwona hamza kama shujaa.

Ukifanya mwisho hamza akiwa shujaa bodi haitapitisha hiyo kazi yako na utakua umetupa pesa.

Na ukifanya jinsi serikali unavyotaka sidhani kama utapata watazamaji wa hiyo filamu yako,labda uwauzie unao wafurahisha.
Hope utanielewa japo sio mwandishi mzuri.
Anyway chaguo ni lako,za kuambiwa changanya na zako.
 
harakati za siri

JF-Expert Member
Aug 23, 2020
654
1,000
Hivi mpaka leo watu waliokuwepo kwenye lile basi wamekataa kabisa kufunguka kuwa jamaa alikuwa anasemaje pale
 
Muuza viatu

JF-Expert Member
May 14, 2020
3,031
2,000
Nafanya beauty photography na videography..
Kwa idea yako na siasa za bongo hutoboi,wewe unataka kufanya kitu serikali inataka na sio jamii inataka nini.

Serikali inamwona hamza kama Gaidi
Na jamii inamwona hamza kama shujaa.

Ukifanya mwisho hamza akiwa shujaa bodi haitapitisha hiyo kazi yako na utakua umetupa pesa.

Na ukifanya jinsi serikali unavyotaka sidhani kama utapata watazamaji wa hiyo filamu yako,labda uwauzie unao wafurahisha.
Hope utanielewa japo sio mwandishi mzuri.
Anyway chaguo ni lako,za kuambiwa changanya na zako.
Muigizaj kupiga picha za kiaskar polisi na kupiga picha ya nje ya jengo la kituo cha polisi kunahitaj kibal cha aina gan
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom