Natamani kusoma Master's nje, anayeujua utaratibu anielekeze

Mtu na nusu

JF-Expert Member
Jan 9, 2020
636
1,115
Habari wana jukwaa,

Mwezi July namaliza bachelor degree yangu nikiwa nime specialize kwenye physics.

Natamani nikimaliza nipate scholarship ya kwenda nje nikasome material physics.

Naombeni msaada kwa anaefaham utaratibu

Ikiwemo available universities.

Ahsanteni.
 
Chuo ninachokifahamu hatua zake za kuomba na urahisi wao wa kutoa nafasi kinahitaji uwe umeshamaliza bachelor tayari. Kama itashindikana kupata msaada toka kwa wadau hapa kwa hali uliyonayo sasa hivi, naomba unitafute ukimashamaliza (ukiwa na transcript, hata kama cheti bado)
Kila la heri
 
Shukrani mkuu
Nakuja pm
 
Nenda Marekani.

Vyuo vya Marekani vinatafuta vijana kama wewe wanaotaka kusomea hard STEM courses. Fanya mtihani wa GRE na TOEFL. Jifue kwelikweli upate pass nzuri ili uweze kuepuka early filters. Wasiliana na Profesa wa chuo unachotaka kwenda kusoma.

Kwa msaada zaidi wa ushauri, tafadhali fika ubalozi wa Marekani, omba kuingia maktaba yao. Huko utapata material mengi yatakayokusaidia kuelekea kupata skolashipu.
 
Habari wana jukwaa
Mwezi July namaliza bachelor degree yangu nikiwa nime specialize kwenye physics.
Natamani nikimaliza nipate scholarship ya kwenda nje nikasome material physics.
Naombeni msaada kwa anaefaham utaratibu
Ikiwemo available universities.
Ahsanteni.
Soma upate lundo la makaratasi halafu hayo makaratasi utaenda kumuonesha baba yako.

Siku ukihitimu ndio utajua kila mwajiri anataka mtu mwenye uzoefu wa miaka 5, nadhani utapata huo uzoefu huko chuoni.
 
Kwa mtaji huu Achana na master’s

Kwa mtaji huu Achana na master’s

Mkuu, naona umeamua kufukua makaburi.
Mambo ya ujana hayo, si unajua tena ujana nimaji ya moto ?

Pamoja na hayo ni afadhali huyu ana mawazo hata ya kusoma masters....
Wengine ''tunawaza'' kubeti tu.
 
Soma upate lundo la makaratasi halafu hayo makaratasi utaenda kumuonesha baba yako.

Siku ukihitimu ndio utajua kila mwajiri anataka mtu mwenye uzoefu wa miaka 5, nadhani utapata huo uzoefu huko chuoni.
Mkuu sio kila anayetaka kusoma (hasa nje ya nchi) anahitaji ajira hapo baadae.
Tusimhuku kijana kwa hili kusudio lake.

Wapo watu kibao ambao wanazitumia hizi fursa za scholarships za kusoma nje ya nchi kupata mambo yafuatayo:
1. Exposure (lugha, tamaduni, maeneo/places n.k)
2. Financial capital (Baadhi ya scholarships wanatoa hela nzuri kiasi kwamba unaweza kujibana ukarudi na vimilioni kadhaa vya ''kuanzia mishemishe'')
3. Connection (kufahamiana na kujenga ukaribu na watu katika mawanda mapana)

Hayo mambo matatu hapo juu kama ukiyatumia vema, utaona kwamba unakua katika nafasi nzuri ya kufanya vema kwenye biashara, ajira, ujasiriamali, siasa, harakati, n.k

Scholarships hazina baya.
 
It’s an assumption 1:100
 
Habari wana jukwaa
Mwezi July namaliza bachelor degree yangu nikiwa nime specialize kwenye physics.
Natamani nikimaliza nipate scholarship ya kwenda nje nikasome material physics.
Naombeni msaada kwa anaefaham utaratibu
Ikiwemo available universities.
Ahsanteni.
Hustahili kuipata hata hiyo Bachelor Degree unayodai unamaliza Julai
 
Nenda Marekani.

Vyuo vya Marekani vinatafuta vijana kama wewe wanaotaka kusomea hard STEM courses. Fanya mtihani wa GRE na TOEFL. Jifue kwelikweli upate pass nzuri ili uweze kuepuka early filters. Wasiliana na Profesa wa chuo unachotaka kwenda kusoma.

Kwa msaada zaidi wa ushauri, tafadhali fika ubalozi wa Marekani, omba kuingia maktaba yao. Huko utapata material mengi yatakayokusaidia kuelekea kupata skolashipu.
Dah!!!,Japo Mimi si mleta Uzi,lkn nashukuru nimepata kitu.
 
Back
Top Bottom