Natamani kurudiana na mzazi mwenzangu ila yeye hataki

Jikaze, they say TIME heals, utafika pahala utajiona mchiinga hata kumlilia, Ishi siku zote ukiamini hakuna aliye Bora zaidi Yako mwenyewe..!

Mlee mwanao kwa upendo wote, If it was meant to be itakuwa tu, na if not, then Learn to Move on mrembo.!
 
Swali kwa wanaume tu Unaweza kufanya kazi-kuajiriwa ukweni kwenu?as in ma mkwe anaye kampuni na akuajiri? Ntasoma comments, mama mkwe ananichanganya hapa
Smiling face with sunglasses
Smiling face with sunglasses
Smiling face with sunglasses
 
Kwa kweli we move on tu.. usilazimishe vitu ambavyo inawezekana huko mbele ukajuta.. hakuna hisia nzuri kama kujua unaempenda nae Yuko kwa ajili yako.. hao unaowakataa inawezekana mmoja wapo ndo kaumbwa kwa ajili yako.. usijinyime nafasi ya kupata furaha, siku hazisimami na maisha ni mafupi hebu jionee huruma kidogo
 
Nenda kwa bishop Masanja Mkandamizaji akufanyie maombezi upate amani tele utulie ndani ya Yesu na uta move on kisawasawa
 
Nashindwa kuelewa kwanini hadi Leo nashindwa kumove on!!! Nilikuwa na mpenzi tuliachana lakini nimekuwa nikimbembeleza turudiane turudiane kisa tu mtoto.lakini amenithibitishia kwa sasa anaishi na mwanamke lakini roho yangu inamng ang ania tu ety kisa mtoto nakataa wanaume kisa yeye,lakini yeye anaishi na mwanamke lakini
Mwanakulifind mwanakuliget songa mbele
 
Nashindwa kuelewa kwanini hadi Leo nashindwa kumove on!!! Nilikuwa na mpenzi tuliachana lakini nimekuwa nikimbembeleza turudiane turudiane kisa tu mtoto.lakini amenithibitishia kwa sasa anaishi na mwanamke lakini roho yangu inamng ang ania tu ety kisa mtoto nakataa wanaume kisa yeye,lakini yeye anaishi na mwanamke
Jipe muda ndugu yangu..nilikuwa kama wewe miaka kadhaa iliyopita ulimpenda sana huyo masta.

Hakuna kitu kizuri kama kujipa muda aise usilazimishe mambo.nafahamu ni ngumu sana..jitahidi utaweza tu.

Mapenzi ni ya kikuda snaa.unaempenda hakupendi,usiyempenda anakusumbua mpka unahisi unataka kunyakuliwa hewa ya oksijeni ukufwe.
 
Nashindwa kuelewa kwanini hadi Leo nashindwa kumove on!!! Nilikuwa na mpenzi tuliachana lakini nimekuwa nikimbembeleza turudiane turudiane kisa tu mtoto.lakini amenithibitishia kwa sasa anaishi na mwanamke lakini roho yangu inamng ang ania tu ety kisa mtoto nakataa wanaume kisa yeye,lakini yeye anaishi na mwanamke lakini mi nipo busy kukataa wanaume ivi kwanini sina maamuzi? Sipati majibu nabaki kumng ang ania mtu ambaye amemove on na sometime kumtumia watu wanaonitongoza ambao nawakataa wenye vigezo zaidi yake nikionesha upendo wangu kwake juu ya familia yetu lakini wapi mwezangu yupo kwenye msimamo ule ule akidai kwa sasa haiwezekani ana mwanamke mwingine.namwambia kwanini ataki kurudiana na Mimi anadai kuwa ameshakosea hawezi kurudiana na Mimi though still ananipenda ila ilo kosa ndo linafanya asibadili mawazo yake kosa gani nimsamehe hataki kusema.
Kama moyo wako unaamini niwako usiogope anaweza kurudi tu ila uwenauhakika haukuwa nakero sana
 
Ninachokiona hapo soon utapigwa mimba ya pili ili uwe certified single maza ,wanaume tunapenda kulalia wanawake dhaifu kwetu Kama wewe
 
Pole mama, inaumiza hasa kama mna mtoto ...Omba Mungu tu tafuta mtu wa kuongeanae ,kama unahitaji kulia lia hasaaa usiogope, hizo nyakati zitapita tu
 
Back
Top Bottom