Natamani kupaza sauti kuhusu uonevu huu ila...

Zamani kidogo wakati nimeajiliwa sijafahamu vizuri kuhusu hii nchi nilikuwa na akili kama zako, mwisho wa mwezi mmoja nikakuta makato kwenye mshahara wangu ambayo sikujua ni ya nini, kuangalia kumbe Chama flani cha wafanyakazi, nikaenda ofisini kwao tena ofisi ya Mkoa nikawauliza kwanini wanakata pesa wakati sikuwahi kuomba uanachama na sikujaza fomu yoyote ya kuridhia makato? boss alijibu kwa kaejeli na dharau kibao hadi nikaamua kwenda Takukuru....hadi leo bado nakatwa hiyo hela na sijawahi kuomba uanachama, ila kila Mei Mosi huwa napewa tisheti na kofia!

Kuhusu habari ya huyu mama ambayo kwakweli imeninyima usingizi leo (mama na kichhanga chake walikuja wananuka harufu ya bidhaa za kiwnda hicho!) kuna member wa hapa JF kanipa mbinu ya kumsaidia huyu mama na Mimi kubaki salama...Asante sana mwana JF ambaye hukutaka nikutaje hapa jukwaani, Mungu akujalie maisha marefu ili watu wengine wajifunze wema kutoka kwako!
Andika barua kupitia kwa mwajiri wako uombe kujitoa kwenye hicho chama, bona watu kibao wanajitoa?
 
Zamani kidogo wakati nimeajiliwa sijafahamu vizuri kuhusu hii nchi nilikuwa na akili kama zako, mwisho wa mwezi mmoja nikakuta makato kwenye mshahara wangu ambayo sikujua ni ya nini, kuangalia kumbe Chama flani cha wafanyakazi, nikaenda ofisini kwao tena ofisi ya Mkoa nikawauliza kwanini wanakata pesa wakati sikuwahi kuomba uanachama na sikujaza fomu yoyote ya kuridhia makato? boss alijibu kwa kaejeli na dharau kibao hadi nikaamua kwenda Takukuru....hadi leo bado nakatwa hiyo hela na sijawahi kuomba uanachama, ila kila Mei Mosi huwa napewa tisheti na kofia!
Sasa mbona mfano wako uko nje ya mada 😂😂😂... Na pia mkuu hilo suala la makato haukutakiwa kulipeleka takukuru na nimekuambia kuhusu hao wachina uwapeleke huko sababu najua huko ndio right channel na nina uhakika ndio litakapofikia hata kama utazunguka njia nyingne lazima liishie kwenye vyombo vya dola au wao ndio watatolea taarifa rasmi. Kingine, Mkuu akili zangu hauwezi kuzijua kwa comment mbili nilizoweka kwenye uzi wako... Tusichukuliane poa
 
Back
Top Bottom