Grau
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 4,221
- 3,843
Nimehangaika vyakutosha, nmesalitiwa vya kutosha nikaamua niingie katika umalaya sasa nikawa mimi na ma bar maid, bar maid na mm, nikawa mtu wa hit n run lakini kwasasa sion faida yake zaidi umri unasonga na ninahitaji kuwa na mke na familia kwa ujumla.
Shida inakuja hivi vibinti vya sasa vyenye umri wa miaka 18 mpaka 25 hivi ambavyo vinakula ujana bado wewe uviingizie suala la kuoa vinaweza kukuelewa lakini je' vitatulia na kufanya maisha?
Kwan sasa hivi unaoa mtu kwaajili ya maisha japo kuhitaji papuchi ni mhim pia Vijana wa sasa tunakazi na tutapata kazi bora wazee wa zamani.
Hapa nnaona bora kuishi mwenyewe , maana hv vitoto havitambui maisha hv ninaona kwa watu pia navutia picha.