Natamani kujua ukweli juu ya Yale mabillion yaliyokamatwa dodoma

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,086
42,876
Watanzania wengi hasa sisi wana ccm chama kinachotuunganisha Watanzania, ambao hatusahau Mambo kirahisi rahisi Bado tunatamani kujua Ni kwa kiasi gani ccm ilikuwa imejaa mafisadi hadi kufikia kukamatwa na maburungutu ya hela pale dodoma kipindi tunapata mgombea urais kamanda Magufuli.Hatujui tena ile kesi(sakata) iliishia wapi.

Baada ya Kupewa uenyekiti nilitegemea Rais angehakikisha vyombo vyetu vya usalama vifanyie kazi ishu ile ili uwatumbue wahusika tena kwa kuwataja hadharani.

Ccm kuvunja miiko ya uongozi ilikuwa ni kosa kubwa. Tumeshukuru tumempata bashiru ipo siku ataliweka wazi hili. Tumekisamehe chama na tunakuombea uzidi ku deal na hawa waliotufikisha hapa.

Nafarijika kwa kuwa uchaguzi ujao hakutakuwa na vitendo vya rushwa hata kidogo.
 
Kuna makaburi mengine ni mwiko kuyafufua kwa maslahi mapana ya nchi
 
Mhurumieni Manji. Amepitia shida sana.

Mmesababisha wana Yanga tumekoswa mdhamini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ule ulikuwa mchezo tu kutishana ili uchaguzi umpate tulienae mana timu mbili zilikuwa zinapigana biti mana walijua alieandaliwa kushika nchi ni nan. ..

Huwa nawashangaa sana nikisikia kauli eti rais magufuli hakujiandaa kuchukua urais

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom