Natamani kima cha chini kiwe shs laki 3 ili walala hoi wapate afueni kidogo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natamani kima cha chini kiwe shs laki 3 ili walala hoi wapate afueni kidogo

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Mar 24, 2012.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Mar 24, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 2. Foundation

  Foundation JF-Expert Member

  #2
  Mar 24, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 1,458
  Likes Received: 256
  Trophy Points: 180
  Ngumu kweli aisee. Sio kwa CCM. Hata hiyo laki tatu bado ndogo sana
   
 3. L

  Lubaluka JF-Expert Member

  #3
  Mar 24, 2012
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 496
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Haaaa Haaaaa!!!! Kama ni Kipanya sawa, lakini sio JK! haaaa!
   
 4. Kimbori

  Kimbori JF-Expert Member

  #4
  Mar 24, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 2,738
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Kuongeza hela zisizo zalisha kwenye uchumi ni kosa kubwa sana!! Ni sawa na kuongeza maji kwenye pipa linalovuja. Hela zikiongezwa kwenye mzunguko bila kuzalisha i.e kwenda sambamba na ukuaji wa uchumi kunapelekea mfumuko wa bei. Serikali kupitia BoT inapaswa kisimamia sera za fedha, ili kuhakikisha sekta za uzalishaji, mfano kilimo, viwanda n.k vinakuwa na mitaji ya kutosha. Mitaji ya kutosha itahakikisha uwepo wa bidhaa sokoni, hivyo kupunguza mfumuko wa bei, na kupunguza ugumu wa maisha.
   
 5. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #5
  Mar 24, 2012
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 10,655
  Likes Received: 2,897
  Trophy Points: 280
  Ok, kwa ujumla unataka kusema nini, serikali isiongeze kima cha chini cha mishahara?

   
 6. Kimbori

  Kimbori JF-Expert Member

  #6
  Mar 24, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 2,738
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Ndio! Serikali isijaribu kuongeza mishahara na malipo mengine kiholela. Serikali ihakikishe miradi ya uzalishaji, hususani bidhaa muhimu kama chakula inapata fedha na mahitaji mengineyo. Watu wanadai mishahara ili kukidhi mfumuko wa bei, kitu ambacho ni sawa na kukimbiza upepo. Ikiwa bidhaa zitazalishwa na kuuzwa kwa bei nafuu, kutakuwa na haja ya kuwa na hela nyingi i.e kudia kima cha chini kiongezwe. WATU WENGI HAWAELEWI MADHARA HATARISHI KWA UCHUMI NA HALI ZA WATU IKIWA MISHAHARA ITAONGEZWA KWA KUWA WENGI HAWAELEWI MAHDARA YA SERA HAFIFU ZA FEDHA. (EXPANSIONARY MONEY POLICY)
   
Loading...