Natamani jk ungekuwa hivi kila sehemu

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,722
21,775
headline_bullet.jpg
LAITI UNGEKUWA UKIWANUNIA HIVI MAFISADI WAKINA
ROSTAM,LOWASSA NA WENGINEO UFALME WA MBINGU UNGEKUWA KWAKO BABA....NA JF TUNGEKUTUNUKIA
PHD KWA HESHIMA YA JF

Jk1(5).jpg

Rais Jakaya Kikwete
 
Ha h a ha haaaa,mkuu wewe mchokozi sana....
Mkuu sikujua jamaa anavyyoitwa handsome ana kasiirika hivi
sijui mama salma alimnyima mambo yetu siku hiyo
hana kawaida ya kufyum
 
ama alikuwa amepigwa jua la sikukuu ya muungano
maana uwanja wa taifa auna adabu ule!!
 
Mkuu sikujua jamaa anavyyoitwa handsome ana kasiirika hivi
sijui mama salma alimnyima mambo yetu siku hiyo
hana kawaida ya kufyum
hahahaaa! amnyime si anaenda kwa mke mdogo. mambo ya plan B hayo.
 
Ninyi wakuu,hayaaaa! wacha nijitokee ktk hii thread...mkulima kala mbegu,anataka kutuua njaa
 
Back
Top Bottom