''Natamani JK awe Rais wa Maisha''! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

''Natamani JK awe Rais wa Maisha''!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by pumbatupu, Aug 3, 2011.

 1. pumbatupu

  pumbatupu JF-Expert Member

  #1
  Aug 3, 2011
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 258
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Unaweza ukacheka Lakini hivo ndivyo Mimi ninavyotamani..
  Kwanza natamani
  JK abadilishe katiba ili awe Rais wa Miasha wa Tanzania; Kwangu mimi hili itaisaidia nchi hii mambo yafuatayo;

  1.Makundi ya Mafisadi pamoja na Makuwadi wao yanayojipanga kuwania Urais wa mwaka 2015 yatakufa kifo cha Ghafla hivyo kukiimarisha chama chetu 'kipenzi' cha Magamba hivyo ndoto za CCJ & Co pamoja na EL & Co. zitakuwa zimeyeyuka kama barafu juani.

  2.Mdogo wangu Ritz1 wangu hatakuwa na tamaa ya kujitajirisha kwa sababu atakuwa na uhakika wa kuishi Ikulu kwa muda mrefu sana. Hivyo fedha anazotumbua zitapelekwa kijijini kwetu kwenda kujengea shule.

  3. Hii itasaidia Chama cha Magwanda kujiimarisha bungeni kwa sbb hawatakuwa na muda wa kuuwaza Urais na badala yake watagombea ubunge na nina imani watapata viti vingi make huku wameonyesha kupamudu.

  4. Hii itatusaidia wadanganyika samahani Watanzania kuokoa fedha nyingi pamoja na muda kwenye kampeni za Urais wa kila mara ambao matokeo yake huwa tayari yameshapikwa na ile tume ya Kiravu na yule Jaji..

  5. Kwa sbb Rais wetu alikuwa na 'slogan' Inayoanzia na Kasi kwa kuhofia muda mchache wa kukaa madarakani,Anaweza kuamua Kufanya mambo kwa u'taratibu zaidi kwa vile muda utakuwa tele.

  JK!! Hebu Fanya Hivi Kwa Fiada Ya Taifa Hili..
   
 2. The only

  The only JF-Expert Member

  #2
  Aug 4, 2011
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 1,423
  Likes Received: 944
  Trophy Points: 280
  hahahahahahahah ah man una fikra kali, yaani unatafuta cheap solution.ila nakukubali mkuu hizo level za shaby robert
   
 3. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #3
  Jul 22, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  kweli ulikaa ukawaza aisee!!
   
 4. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #4
  Jul 22, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,858
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  duh, nyu aidia. like!!!!!
   
 5. b

  blessings JF-Expert Member

  #5
  Jul 10, 2015
  Joined: Jul 9, 2012
  Messages: 5,053
  Likes Received: 2,844
  Trophy Points: 280
  tanzania ni nchi inayofuata katiba yake kwa ukamilifu
   
 6. P

  Pohamba JF-Expert Member

  #6
  Jul 10, 2015
  Joined: Jun 2, 2015
  Messages: 14,497
  Likes Received: 21,508
  Trophy Points: 280
  Mkimpitisha Membe au yule mfipa wa Askof Pengo mjue Salma Jakaya ndo Rais na Ridhwan ndo PM. Baba Riz atakuwa ndo Nyerere mpya
   
 7. Mwanyasi

  Mwanyasi JF-Expert Member

  #7
  Jul 10, 2015
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 5,761
  Likes Received: 1,895
  Trophy Points: 280
  Awe rais wa maisha club au unamaanisha maisha ipi?
   
Loading...