Natamani 'Jamii' ingeijua sababu iliyosababisha nikafanya vile, Japo hadi leo nashindwa kuelewa kama nilikuwa sahihi au lah!

nilichojifunza ni kuwa wanaume mna huruma na tamaa sana..mtaka yote hukosa yote

as long as wamekusamehe hakuna baya utapata tu wako
 
Me nakushauri usirudi nyuma kwa maana hutopendwa tena kama mwanzo hata ukirudiana nae yeyote kati yao, ukitaka kuwasahau ni rahisi sana kama utaamua kuwafikiria wengine.
 
Me nakushauri usirudi nyuma kwa maana hutopendwa tena kama mwanzo hata ukirudiana nae yeyote kati yao, ukitaka kuwasahau ni rahisi sana kama utaamua kuwafikiria wengine.
Hiki ndicho nilichoamua mkuu....imani ikitoweka hata ukirudi haiwezi kurudi....ni muda wa kusonga mbele
 
Yaani madogo mkiwaga sekondari mnarukaruka, mara una mpenzi mkoani sijui mwingine class ila chuo mwisho wa yote, demu wako ni yule unayemuona na kama huna hela labda utie huruma
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom