Natamani iwe hivi

SIPIYU30

JF-Expert Member
Feb 26, 2012
1,616
2,012
Najua CCM ni wagumu na hawatakuwa tayari kuachia ikulu kama alivyosema Nape na Bulembo. Mwanafalsafa Karl Marx alishawahi kusema hili alipokuwa anazungumzia class struggle. Kuwa aliyepo madarakani hawezi kuachia kirahisi isipokuwa kwa struggle, kwa maana ya msuguano mkali. It is a battle, siyo kazi rahisi.

Sasa ikitokea Lowasa akashinda kwa kura lakini CCM wakalazimisha goli la mkono, natamani UKAWA wawe na wabunge wengi sana bungeni zaidi ya nusu ili Waziri mkuu atokane na upinzani, hapo ndo ngoma itakuwa tamu. Magufuli lazima aombe poo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom