Natamani CCM watangaze rasmi kukataa kura za watumia gongo

TEMILUGODA

JF-Expert Member
Feb 11, 2012
1,376
1,500
Kuna maneno au pang'ang'a humu jamvini yanayotolewa dhidi ya kinywaji cha gongo.Kule kenya kinywaji hiki kinaitwa CHANG'AA na kinalipia kodi na hivyo kuliongezea pato taifa la Kenya.SERIKALI YOYOTE ISIYO NA UWEZO WA KUBUNI VYANZO VIPYA VYA MAPATO NA UDHIBITI WA BIASHARA HATARISHI KWA JAMII ITAENDESHWA KWA SHURTI.Hivyo kutokana na maneno au pang'ang'a za maccm nadhani ni vema ccm itamke rasmi kuzikata kura za watumia GONGO NCHINI kama kweli wana ubavu.TATIZO LA CCM NI UNAFIKI KWANI WAPO VIONGOZI,WANACHAMA NA WAPENZI WA CCM WANAOTUMIA CHANG'A.SASA INAKUWAJE LEO MACCM MUIITE CHADEMA CHAMA CHA GONGO?DR SLAA MZEE WA GONGO?ENYI MACCM TAMBUENI KUWA CHADEMA TUNATAMBUA HAKI YA KILA KUNDI KATIKA JAMII,KILA KUNDI LINA HAKI YA KUTENGENEZEWA MAZINGIRA STAHIKI YA KUISHI.KIWANGO CHA GONGO CHA SASA HAKINA VIWANGO,DOLA CHINI YA CHADEMA ITAWASAIDIA WAANDAAJI WA GONGO ILI WAFANYE BIASHARA YA UHAKIKA PAMOJA NA WAO KULIPA KODI kama wenzao wa Kenya.TAIFA HILI NI LETU SOTE,NA ANAE KUDHARAU LEO SIKU MOJA ATAKUSALIMIA KWA HESHIMA.
 
TEMILUGODA

JF-Expert Member
Feb 11, 2012
1,376
1,500
tumbaku je.......

Mtu yeyote mwenye woga,hofu na mashaka kamwe hawezi kutambua maana ya haki,watumia gongo wana haki ya kuishi,huyo jamaa ana dhani gongo itatengezwa ofisini?AJUE TU KUWA SI KILA BIDHAA HUTUMIWA NA WOTE,ila kila mtu ana haki ya kuishi.
 
kigoma mjini

Member
Dec 1, 2013
95
0
Kuna maneno au pang'ang'a humu jamvini yanayotolewa dhidi ya kinywaji cha gongo.Kule kenya kinywaji hiki kinaitwa CHANG'AA na kinalipia kodi na hivyo kuliongezea pato taifa la Kenya.SERIKALI YOYOTE ISIYO NA UWEZO WA KUBUNI VYANZO VIPYA VYA MAPATO NA UDHIBITI WA BIASHARA HATARISHI KWA JAMII ITAENDESHWA KWA SHURTI.Hivyo kutokana na maneno au pang'ang'a za maccm nadhani ni vema ccm itamke rasmi kuzikata kura za watumia GONGO NCHINI kama kweli wana ubavu.TATIZO LA CCM NI UNAFIKI KWANI WAPO VIONGOZI,WANACHAMA NA WAPENZI WA CCM WANAOTUMIA CHANG'A.SASA INAKUWAJE LEO MACCM MUIITE CHADEMA CHAMA CHA GONGO?DR SLAA MZEE WA GONGO?ENYI MACCM TAMBUENI KUWA CHADEMA TUNATAMBUA HAKI YA KILA KUNDI KATIKA JAMII,KILA KUNDI LINA HAKI YA KUTENGENEZEWA MAZINGIRA STAHIKI YA KUISHI.KIWANGO CHA GONGO CHA SASA HAKINA VIWANGO,DOLA CHINI YA CHADEMA ITAWASAIDIA WAANDAAJI WA GONGO ILI WAFANYE BIASHARA YA UHAKIKA PAMOJA NA WAO KULIPA KODI kama wenzao wa Kenya.TAIFA HILI NI LETU SOTE,NA ANAE KUDHARAU LEO SIKU MOJA ATAKUSALIMIA KWA HESHIMA.

bangi pia ruksa
 
mjepo

JF-Expert Member
Aug 8, 2013
4,913
1,225
Viongozi wa chadema wenyewe ni wadau wa gongo kwahiyo lazima gongo waipe kipao mbele sana.
 
Paul S.S

JF-Expert Member
Aug 27, 2009
6,309
2,000
Nasikis kitu cha majani Jamaika ni rukhsa na watu wanalipa kodi
tunaomba CDM na hili liingizeni kwenye sera zenu kama gongo
 
TEMILUGODA

JF-Expert Member
Feb 11, 2012
1,376
1,500
Nasikis kitu cha majani Jamaika ni rukhsa na watu wanalipa kodi
tunaomba CDM na hili liingizeni kwenye sera zenu kama gongo

Maccm mnatakiwa mseme je,kura za kundi hili la watumia gongo mnazitaka au hamzitaki?acheni kuzunguka.
 
Tukundane

JF-Expert Member
Apr 17, 2012
11,085
2,000
CCM hawana ubavu wakukataa kura za wanywa gongo wakati kura nyingi zinatoka kwa wanywa gongo wanayonunuliwa na CCM kipindi cha uchaguzi.
 
Mlengo wa Kati

JF-Expert Member
Feb 16, 2011
2,731
0
Kuna maneno au pang'ang'a humu jamvini yanayotolewa dhidi ya kinywaji cha gongo.Kule kenya kinywaji hiki kinaitwa CHANG'AA na kinalipia kodi na hivyo kuliongezea pato taifa la Kenya.SERIKALI YOYOTE ISIYO NA UWEZO WA KUBUNI VYANZO VIPYA VYA MAPATO NA UDHIBITI WA BIASHARA HATARISHI KWA JAMII ITAENDESHWA KWA SHURTI.Hivyo kutokana na maneno au pang'ang'a za maccm nadhani ni vema ccm itamke rasmi kuzikata kura za watumia GONGO NCHINI kama kweli wana ubavu.TATIZO LA CCM NI UNAFIKI KWANI WAPO VIONGOZI,WANACHAMA NA WAPENZI WA CCM WANAOTUMIA CHANG'A.SASA INAKUWAJE LEO MACCM MUIITE CHADEMA CHAMA CHA GONGO?DR SLAA MZEE WA GONGO?ENYI MACCM TAMBUENI KUWA CHADEMA TUNATAMBUA HAKI YA KILA KUNDI KATIKA JAMII,KILA KUNDI LINA HAKI YA KUTENGENEZEWA MAZINGIRA STAHIKI YA KUISHI.KIWANGO CHA GONGO CHA SASA HAKINA VIWANGO,DOLA CHINI YA CHADEMA ITAWASAIDIA WAANDAAJI WA GONGO ILI WAFANYE BIASHARA YA UHAKIKA PAMOJA NA WAO KULIPA KODI kama wenzao wa Kenya.TAIFA HILI NI LETU SOTE,NA ANAE KUDHARAU LEO SIKU MOJA ATAKUSALIMIA KWA HESHIMA.

Dr Wilbroad Slaa Balozi wa Gongo Tanzania
 
Mlengo wa Kati

JF-Expert Member
Feb 16, 2011
2,731
0
Nasikis kitu cha majani Jamaika ni rukhsa na watu wanalipa kodi
tunaomba CDM na hili liingizeni kwenye sera zenu kama gongo

Kwani nyie Chadema mnataka gongo iwafaidishe watu kwa kipato au mnataka kura za watumia Gongo? Chadema imepauka kimawazo!
 
Alfred Daud Pigangoma

JF-Expert Member
Mar 30, 2009
1,792
2,000
Huwezi halalisha kitu haramu kwa uroho wa madaraka!

Kitu haramu unakijua wewe Mlengo wa chini ya mgogo? Haramu uharamishwa na watu, na halali uhalalishwa na watu. Kwenye rasimu ya katiba hakuna kipengere kinachosema Gongo ni haramu. Mbona wewe --------- vibaya mimi sijasema mchezo huo ni haramu?
 
Mungi

JF Gold Member
Sep 23, 2010
16,980
2,000
Kinywaji cha gongo likiboreshwa serikali ya ccm itakuwa ya kwanza kudai kodi
 
kajirita

JF-Expert Member
Jul 27, 2013
1,575
1,225
Kwani nyie Chadema mnataka gongo iwafaidishe watu kwa kipato au mnataka kura za watumia Gongo? Chadema imepauka kimawazo!

CCM mna shida sana!Yaani kila siku mnawaachia hawa poliCCM wachukue ushuru wa gongo wauingize mifukoni mwao na serikali kukosa mapato hlf leo hii mnajifanya gongo ni haramu?
Kwa taarifa yenu hapa hapa dar es salaam maeneo kadhaa ninayafahamu kama Buguruni,Tabata,Mwananyamala gongo inapikwa kama kawaida na mapato yote ambayo serikali ingechukua yanaishia mikononi mwa polisi!Sasa si ni bora serikali ikapata mapato kuliko kuwaachia hawa polisi wakanufaika wao na familia zao?
 
nditolo

JF-Expert Member
Jul 2, 2011
2,690
2,000
Dr Wilbroad Slaa Balozi wa Gongo Tanzania

Saikologia hiyo, Dr. wa ukweli ni next level anawahamisha tu. Na mnaenda kama upepo. Katika historia ya dunia sijawahi kusikia katibu wa chama cha siasa ambaye ni mweledi kama Dr. Slaa.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom