Natamani Bunge lianze kesho....!

Supervisor

JF-Expert Member
Oct 29, 2010
559
207
Katika vikao vyote vya bunge hiki cha 10 kitakua ni historia kwa nchi. Mpaka ccm wanaitana kupeana semina elekezi.? mambo ni mazito. Kuna kipindi nilionaga kwenye news kuna wabunge walichapana makonde kwa sababu ya tofauti ya hoja zao. Kuna hoja binafsi za kutosha bunge lijalo(feb) (Dowans),(katiba mpya), (kutokuwa na imani na serikali) kuna niliyosahau? Wabunge wa ccm wako wenyewe CDM wako na wananchi tena masiki wa kutupa... Sijui kama kupiga kula bungeni kutasaidia
 
Back
Top Bottom