Prisoner 46664
JF-Expert Member
- Dec 18, 2010
- 1,948
- 1,237
Ni mtoto mweusi wa kiafrika mwenye umbo zuri lenye uwezo wa kugonganisha magari..urefu 6'2'' hivi, mwembamba kiasi, yani ni mzuri zaidi ya neno beautiful lenyewe,..
Nilikutana naye mara ya kwanza hapa ofisini, nilipoanza kazi kama mwaka mmoja na nusu hivi uliopita..mashallah!siku ya kwanza kumuona alinipa blushes ile mbaya, mtu mzima moyo ukashtuka..nikabaki kubung'aa maneno hayatoki!..nikamake a wish in one second!!..yani kungekuwa na uwezekano ningempeleka church muda huo huo, siku hiyo hiyo nikatengeneze covalent bond..kitu gani bana!!
Mtoto huyu si mtanzania, anatokea kwenye kanchi fulani kanakoongea kifaransa..lakini pia anajua kingereza..sasa hiyo lafudhi yake sasa, I have never heard of anything sexier in my entire life!!yani natamani nirekodi mixed tape za maongezi yetu yote ya siku niwe natafutia usingizi nyumbani...
Hana makuu, ana tabasamu zuri kuliko kawaida..kila nikimuona natamani nimjali tu kwa vyovyote, alimradi anishukuru, ama hata acheke tu...lol..na tumetokea kuwa na mahusiano mazuri ya ukaribu kweli, tukikaa full story one hour hata kazi zinasahaulika..
Kitu kibaya kuliko vyote (nlikuja kugundua baadaye saaana!!) ni kwamba ameolewa na ana watoto wa3 hivi..lol!..wivu umenijaa nnatetemeka kila siku..natamani ningekutana naye hata 1995 huko (hata kama nlikuwa sijajuaga haya mambo bado..lol), ningefanya niwezalo nimpate..i wish I could do something to legalize this bond between us,...ashakum si matusi...nimewahiwa..mla mla leo!
It hurts me kuwa sitakaa niweze kuenda mbele zaidi ya hapa tulipo (nimejiwekea marufuku),,.ingawa hata yeye anayo heshima tosha ya kujua mipaka..Nevertheless, I am dying a slow, painful death!!
Natamani......