Natamani angekuwa wangu...

Prisoner 46664

JF-Expert Member
Dec 18, 2010
1,948
1,237
Ni mtoto mweusi wa kiafrika mwenye umbo zuri lenye uwezo wa kugonganisha magari..urefu 6'2'' hivi, mwembamba kiasi, yani ni mzuri zaidi ya neno beautiful lenyewe,..

Nilikutana naye mara ya kwanza hapa ofisini, nilipoanza kazi kama mwaka mmoja na nusu hivi uliopita..mashallah!siku ya kwanza kumuona alinipa blushes ile mbaya, mtu mzima moyo ukashtuka..nikabaki kubung'aa maneno hayatoki!..nikamake a wish in one second!!..yani kungekuwa na uwezekano ningempeleka church muda huo huo, siku hiyo hiyo nikatengeneze covalent bond..kitu gani bana!!

Mtoto huyu si mtanzania, anatokea kwenye kanchi fulani kanakoongea kifaransa..lakini pia anajua kingereza..sasa hiyo lafudhi yake sasa, I have never heard of anything sexier in my entire life!!yani natamani nirekodi mixed tape za maongezi yetu yote ya siku niwe natafutia usingizi nyumbani...

Hana makuu, ana tabasamu zuri kuliko kawaida..kila nikimuona natamani nimjali tu kwa vyovyote, alimradi anishukuru, ama hata acheke tu...lol..na tumetokea kuwa na mahusiano mazuri ya ukaribu kweli, tukikaa full story one hour hata kazi zinasahaulika..

Kitu kibaya kuliko vyote (nlikuja kugundua baadaye saaana!!) ni kwamba ameolewa na ana watoto wa3 hivi..lol!..wivu umenijaa nnatetemeka kila siku..natamani ningekutana naye hata 1995 huko (hata kama nlikuwa sijajuaga haya mambo bado..lol), ningefanya niwezalo nimpate..i wish I could do something to legalize this bond between us,...ashakum si matusi...nimewahiwa..mla mla leo!

It hurts me kuwa sitakaa niweze kuenda mbele zaidi ya hapa tulipo (nimejiwekea marufuku),,.ingawa hata yeye anayo heshima tosha ya kujua mipaka..Nevertheless, I am dying a slow, painful death!!

Natamani......
 
mke wa mtu ni sumu..........
usijaribu kufikiria lolote kumuhusu! kama unataka nenda kagera mpakani mwa tz na Rwanda utawakuta kibaooooo
 
ni mtoto mweusi wa kiafrika mwenye umbo zuri lenye uwezo wa kugonganisha magari..urefu 6'2'' hivi, mwembamba kiasi, yani ni mzuri zaidi ya neno beautiful lenyewe,..

Nilikutana naye mara ya kwanza hapa ofisini, nilipoanza kazi kama mwaka mmoja na nusu hivi uliopita..mashallah!siku ya kwanza kumuona alinipa blushes ile mbaya, mtu mzima moyo ukashtuka..nikabaki kubung'aa maneno hayatoki!..nikamake a wish in one second!!..yani kungekuwa na uwezekano ningempeleka church muda huo huo, siku hiyo hiyo nikatengeneze covalent bond..kitu gani bana!!

Mtoto huyu si mtanzania, anatokea kwenye kanchi fulani kanakoongea kifaransa..lakini pia anajua kingereza..sasa hiyo lafudhi yake sasa, i have never heard of anything sexier in my entire life!!yani natamani nirekodi mixed tape za maongezi yetu yote ya siku niwe natafutia usingizi nyumbani...

Hana makuu, ana tabasamu zuri kuliko kawaida..kila nikimuona natamani nimjali tu kwa vyovyote, alimradi anishukuru, ama hata acheke tu...lol..na tumetokea kuwa na mahusiano mazuri ya ukaribu kweli, tukikaa full story one hour hata kazi zinasahaulika..

Kitu kibaya kuliko vyote (nlikuja kugundua baadaye saaana!!) ni kwamba ameolewa na ana watoto wa3 hivi..lol!..wivu umenijaa nnatetemeka kila siku..natamani ningekutana naye hata 1995 huko (hata kama nlikuwa sijajuaga haya mambo bado..lol), ningefanya niwezalo nimpate..i wish i could do something to legalize this bond between us,...ashakum si matusi...nimewahiwa..mla mla leo!

It hurts me kuwa sitakaa niweze kuenda mbele zaidi ya hapa tulipo (nimejiwekea marufuku),,.ingawa hata yeye anayo heshima tosha ya kujua mipaka..nevertheless, i am dying a slow, painful death!!

Natamani......

na uishie hapo hapo

usije ukaganda bure..!!
 
Kwanza wewe mfungwa 46664 MBONA NAMBA LA KIFREEMANSON KABISAAA hilo?

Face her, GROW SOME BALLS n make it happen! Nashangaa hivo vipira vinavoninginia vya nini? USE THEM!!!!!
 
Ni mtoto mweusi wa kiafrika mwenye umbo zuri lenye uwezo wa kugonganisha magari..urefu 6'2'' hivi, mwembamba kiasi, yani ni mzuri zaidi ya neno beautiful lenyewe,..

Nilikutana naye mara ya kwanza hapa ofisini, nilipoanza kazi kama mwaka mmoja na nusu hivi uliopita..mashallah!siku ya kwanza kumuona alinipa blushes ile mbaya, mtu mzima moyo ukashtuka..nikabaki kubung'aa maneno hayatoki!..nikamake a wish in one second!!..yani kungekuwa na uwezekano ningempeleka church muda huo huo, siku hiyo hiyo nikatengeneze covalent bond..kitu gani bana!!

Mtoto huyu si mtanzania, anatokea kwenye kanchi fulani kanakoongea kifaransa..lakini pia anajua kingereza..sasa hiyo lafudhi yake sasa, I have never heard of anything sexier in my entire life!!yani natamani nirekodi mixed tape za maongezi yetu yote ya siku niwe natafutia usingizi nyumbani...

Hana makuu, ana tabasamu zuri kuliko kawaida..kila nikimuona natamani nimjali tu kwa vyovyote, alimradi anishukuru, ama hata acheke tu...lol..na tumetokea kuwa na mahusiano mazuri ya ukaribu kweli, tukikaa full story one hour hata kazi zinasahaulika..

Kitu kibaya kuliko vyote (nlikuja kugundua baadaye saaana!!) ni kwamba ameolewa na ana watoto wa3 hivi..lol!..wivu umenijaa nnatetemeka kila siku..natamani ningekutana naye hata 1995 huko (hata kama nlikuwa sijajuaga haya mambo bado..lol), ningefanya niwezalo nimpate..i wish I could do something to legalize this bond between us,...ashakum si matusi...nimewahiwa..mla mla leo!

It hurts me kuwa sitakaa niweze kuenda mbele zaidi ya hapa tulipo (nimejiwekea marufuku),,.ingawa hata yeye anayo heshima tosha ya kujua mipaka..Nevertheless, I am dying a slow, painful death!!

Natamani......
Tell her how you feel
 
Pole xana mkuu,mheshimu na mpende kama rafiki yako kwani huyo ni mke wa mtu si vzr kuchombeza ukasababisha matatizo ungekua hujui afadhali,mambo ya eti mface umwambie ukweli ili iweje mtu ana mme na watoto wake?
 
Endelea kutafuta kama huyo mbona wapo wengi tu!!

Mkuu..she is not just another girl man..niamini..yani sijawahi kukutana na mwanamke ghafla nikawa sure naweza kukaa naye maisha yote,,huyu ni wa kwanza
 
Mkuu huku uswahilini wetu wako wengi sana tatizo ni matunzo tuu...endelea yawezekana one day mambo yakatiki............
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom