Natakiwa nikae muda gani ili kujua nimekosa kazi au la?

Mbishi 4 real

JF-Expert Member
Jan 16, 2014
616
548
Habari zenu waungwana

Natakiwa nikae muda gani mara baada ya kufanya usahili wa pili kwenye kampuni binafsi li kujua kama nimekosa nafasi ya kazi au la?

Hii naongelea hasa kwa zile kampuni ambazo hawana kawaida ya kusema kwamba ni lini majibu ya usahili yatatoka ili kujua kama umekosa au la.

Namkaribisha yoyote mwenye uzoefu wa mambo haya aweze kutufumbua macho.
 
Kwanza hongera kwa usaili.

Kuhusu jibu lako, hakuna muda maalum, kila kampuni wana utaratibu wao. Wengine wanaweka wazi usiposikia baada muda flani ujue haikua bahati yako.

Endelea kuvuta subira na kila la kheri mkuu.
 
Asante sana ndugu.
 
Mkuu hiyo kitu haina formula. Ukifanya interview unaweza ukashangaa umepigiwa kesho yake, au baada ya wiki au hata mwezi. Kuna kampuni nyingine hata miezi kadhaa.

Pia unatakiwa utambue kuwa unapo apply kazi unaweza usipate kwa wakati huo wakaitwa wengine lakini wanakuwa tayari wana application yako (CV n.k) na matokeo yako ya interview hivyo baadae huko hata mwaka au miezi imepita na ulishasahau ukashangaa unaitwa.

Hivyo kiujumla hakuna kanuni ya kusema kuwa ukiona hujaitwa baada ya muda fulani basi ujue kuwa umekosa ajira.

Kuja jamaa yangu aliwahi kufanya interview ETDCo lakini hakuna alieitwa kazini wakaja kuita baada ya miezi saba.
 
chuo ume maliza lini?
Mara nyingi ukisha ona week 2 zime pita ZZZZ basi we endelea na mambo mengine lakini kwa kukusahuri tu tafuta kitu cha kufanya uki itwa kweny interview jiandae vizuri nenda kafanye usijipe matumaini meeengi ilihali hali ya mtaani tuna ona ilivo Tra nafasi ina hitaji watu8 mmna itwa 10k kuna unafuu kweli hapo? P(c)=8/10,000
nafasi ya kutoboa hapo ni 0.0008
bongo nyoso
 
Shukrani mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom