Natakiwa kufuata taratibu zipi kwenda kujitambulisha kwa wachaga?

Naomba nizungumze kulingana na uzoefu nilioupata coz mimi nimeoa huko huko uchagani lkn kwa sasa ndoa hakuna tena na niliamua kwenda kuoa nyumbn kijijini....iko hivi mtafute mchaga mwenzao awe mshenga wako na hakikisha anajua kuongea vizuri asiwe muoga

Pili hakikisha wakati unafanya maandalizi hayo uwe tyr umeshayasoma mazingira ya hao wakwe zako ili mjue mnaingia vipi siku iyo maana wachaga kwa shughuli ndio zao

Tatu unatakiwa kufahamu wachaga kitendo cha kumuozesha mtoto wao hupenda kufanya shughuli ingawaje gharama za iyo shughuli ni zao lkn na wao kupitia iyo shughuli watataka pesa yao ya kumkuza uyo mtoto iweze kurudi kwa kiasi flani

Nne na la mwisho japo si kwa umuhimu kumbuka hapo si kwenda kutoa barua tu wanategemea unaenda kutoa na mahali kabisa sasa hapa mzee jipange coz huwa inategemea na familia yao mimi niliambiwa mahali milioni tatu cash na kama anamimba ujue kuna faini pia unatakiwa uwende na creti la bia moja pamoja na la soda moja na pia huwa wanakuwa na faini za kishamba kwa mfano mkichelewa kwa tukio faini maana yake hapo ela na kuna mafaini kutoka kwa makaka zake na faini za kumpa ujauzito kabla ya ndoa.

Nb;Wachaga wanapenda sana baada ya mahali mfunge ndoaaaaaaaaaaa kabisa hapo ndipo niliposhindwa mimi na kuamua kughairi lkn mahali nilishatoa
Good experience mkuu,ngoja nione picha linaendaje

Sent from my SM-G973F using JamiiForums mobile app
 
Kwa wale waliovuka hii stage, naomba uzoefu wenu wa namna ambavyo natakiwa kufanya ili nikajitambulishe Kwa mke wangu tarajiwa Moshi, kufupisha story ni kwamba huyu binti ni mjamzito sasa, wazazi wake wananikomalia niende wakamfahamu baba wa mtoto ambaye ni mimi.

Nimeukwepa sana huu mtego lakini nimeona tu nikaitikie wito, Naombeni mnipe mbinu,bajeti, na yanayojiri kule ili nisiwakwaze.
Nenda na gunia la hela kesi itaisha
 
Andaa 6 millioni
Madumu ya Pombe
Mbuzi Choma
Ndizi

Mwisho wa mchezo.
 
Kama issue ya kujitambulisha tu haina shida, wewe watumie hela Kama 400,000 wapate chakula na pombe yao, nenda na akiba kidogo Kama 200,000 incase kukajitokeza Mambo machache ya kiutaratibu mfano kumpa mimba binti yao bila kufuata utaratibu huewnda wazee wakataka kitu kidogo nk, hapo pi watakuuliza Mambo kadhaa Kama vile unampango wa kufunga ndoa lini lini na mahari lini, Ni vema ukampata shikaji ambaye ni mchanga na anajua utaratibu wa kichaga ukaambata naye siku hiyo.

Na Kama kifedha uko vizuri ungeunganisha utambulisho na mahari iwe siku moja.
 
Shukrani mkuu wazo jema sana hilo

Sent from my SM-G973F using JamiiForums mobile app
 
Naomba nizungumze kulingana na uzoefu nilioupata coz mimi nimeoa huko huko uchagani lkn kwa sasa ndoa hakuna tena na niliamua kwenda kuoa nyumbn kijijini....iko hivi mtafute mchaga mwenzao awe mshenga wako na hakikisha anajua kuongea vizuri asiwe muoga

Pili hakikisha wakati unafanya maandalizi hayo uwe tyr umeshayasoma mazingira ya hao wakwe zako ili mjue mnaingia vipi siku iyo maana wachaga kwa shughuli ndio zao

Tatu unatakiwa kufahamu wachaga kitendo cha kumuozesha mtoto wao hupenda kufanya shughuli ingawaje gharama za iyo shughuli ni zao lkn na wao kupitia iyo shughuli watataka pesa yao ya kumkuza uyo mtoto iweze kurudi kwa kiasi flani

Nne na la mwisho japo si kwa umuhimu kumbuka hapo si kwenda kutoa barua tu wanategemea unaenda kutoa na mahali kabisa sasa hapa mzee jipange coz huwa inategemea na familia yao mimi niliambiwa mahali milioni tatu cash na kama anamimba ujue kuna faini pia unatakiwa uwende na creti la bia moja pamoja na la soda moja na pia huwa wanakuwa na faini za kishamba kwa mfano mkichelewa kwa tukio faini maana yake hapo ela na kuna mafaini kutoka kwa makaka zake na faini za kumpa ujauzito kabla ya ndoa.

Nb;Wachaga wanapenda sana baada ya mahali mfunge ndoaaaaaaaaaaa kabisa hapo ndipo niliposhindwa mimi na kuamua kughairi lkn mahali nilishatoa
Huwezi ukaita taratibu na mila zetu za kishamba. Jitafakari mkuu. Na kama ni ndoa kwanini uliamua kumuacha? Haukua unampenda? Si kuna hata zile ndoa za mkesha kama huna hela ya sherehe jamani. Roho si inakuuma sana? Umawezaje mwachia mtu unayempenda hv jaman. Ama tabia mulishindwana?
Pole sana. Mungu ni mwema. Huenda pia akawa na sababu zake. Huwezi jua
 
Back
Top Bottom