Nataka niuze nchi ya Tanzania nifanyeje?

Hii nchi ilishauzwa zamani sana.Mliliki wake anaweza akawaambia wananchi ha,na maandamano,ukiandamana kwa ubishi lazima ulambe risasi na mabomu.Ukipiga kura lazima ichakachuliwe na mmiliki.Mmiliki hafi njaa hata siku moja ila aliyenunuliwa anakufa kwa umaskini.Ukishaona mwananchi hana usemi wowote juu ya nchi yake basi ujue nae ameshaninuliwa,akilalamoka anakula kichapo.Mmiliki anaweza kukuchapa risasi bila fidia
 
Samahani Watanzania wenzangu natamani kuuza nchi hii na nyinyi nyote mliomo ndani, ikiwezekana labda muhamie nchi nyingine. Mnaweza kunisaidia kujua Procudure za kuuza?


ANYONE who tired.

Umechelewa RA amekuwai, ndio tunajaribu kuikomboa kutoka mikononi mwao
 
Samahani Watanzania wenzangu natamani kuuza nchi hii na nyinyi nyote mliomo ndani, ikiwezekana labda muhamie nchi nyingine. Mnaweza kunisaidia kujua Procudure za kuuza?

ANYONE who tired.



Iuzwe Mara ngapi?

Hakuna Nchi ya Tanzania, bali Tanganyika, hii ndiyo tunapambana ili tupate Uhuru wa kweli.
 
samahani watanzania wenzangu natamani kuuza nchi hii na nyinyi nyote mliomo ndani, ikiwezekana labda muhamie nchi nyingine. Mnaweza kunisaidia kujua procudure za kuuza?

Anyone who tired.


ukifanikiwa kuuza usisahau mgao wangu wa buku tatu
 
Tangaza ofa kwa RA akuuzie then na wewe uize kama ukipata mteja maana kwa sasa iko kwenye milki ya RA
 
Waambie rowasa na rostamu wakuuzie kama wamechoka kuitumia!!! maana wamenunua muda si mrefu kutoka kwa ben na wenzake baada ya kuwekeza sana kule lushoto na south A. wakauza kwa matapeli wengine.

Nawe kama umetumwa kuuliza bei..... iko poa sana maana imeshamalizwa nchi hii haina jipya sasa, hata hivyo mafisadi hawa wanauzwa sasa kwa bei nafuu.
 
Back
Top Bottom