Nataka niunde chama ambacho kitawaenzi hayati Baba wa Taifa JK Nyerere na hayati JP Magufuli

Baada ya kuona wanaodhihaki kazi nzuri aliyoifanya Hayati JP Maguli iliwemo miradi mikubwa ,kutufikisha uchumi wa kati ,kutatua shida za wanyonge waliyokuwa wamedhulumiwa haki zao,kupambana na rushwa nk nataka wazalendo tuunde chama ambacho misingi yake itakuwa ya uzalendo uliyoonyeshwa na Hayati Baba wa taifa JK Nyerere na Hayati JP Magufuli.chama hiki kitapamabana na CCM mafisadi wanaojaribu kuonyesha kuwa Hayati JP Magufuli hakufanya kitu ( wanabweka baada ya Simba kufa) na upinzani uchwara uliyekosa ajenda na kudandia kushabikia kifo cha JPM.

Wazendo naomba jina la chama hicho kipya tafadhali.

Ukweli mchungu huwezi waenzi Nyerere na JPM at the same time.

Wawili hawa walikuwa tofauti mno.

Nyerere asingemvumilia JPM hata kidogo.

Nyerere unamfahamu au unamsikia?
 
Baada ya kuona wanaodhihaki kazi nzuri aliyoifanya Hayati JP Maguli iliwemo miradi mikubwa ,kutufikisha uchumi wa kati ,kutatua shida za wanyonge waliyokuwa wamedhulumiwa haki zao,kupambana na rushwa nk nataka wazalendo tuunde chama ambacho misingi yake itakuwa ya uzalendo uliyoonyeshwa na Hayati Baba wa taifa JK Nyerere na Hayati JP Magufuli.chama hiki kitapamabana na CCM mafisadi wanaojaribu kuonyesha kuwa Hayati JP Magufuli hakufanya kitu ( wanabweka baada ya Simba kufa) na upinzani uchwara uliyekosa ajenda na kudandia kushabikia kifo cha JPM.

Wazendo naomba jina la chama hicho kipya tafadhali.
Makao Makuu yatakuwa Chato au Bujumbura?
 
Katika kuamua jina la chama utakachounda, ni vizuri ukazingatia maneno ambayo marehemu walipendelea kuyasema, mfano chama cha wanyonge, chama cha mabeberu, chama cha uhujumu uchumi, chama cha majizi na wapiga diriii...kila la heri mkuu,
 
Vipi tena Kwanini asiwe Baba yako instead of Nyerere and Maguful... kama unawataka hao kuwaenzi ni kuingia kwenye chama walivyopitia na sio vipya... Hii inakuwa kama Yesu wa Dini ya Myahudi, watu wakasema wamuenzi kwa kuanzisha Dini Mpya nyakati hizo ya Ukristo... they are so wrong... and your wrong! because your choosen wrong path. hii ni fact.
 
Katika kuamua jina la chama utakachounda, ni vizuri ukazingatia maneno ambayo marehemu walipendelea kuyasema, mfano chama cha wanyonge, chama cha mabeberu, chama cha uhujumu uchumi, chama cha majizi na wapiga diriii...kila la heri mkuu,
chama cha wanyonge na wapiga dilii litapendeza saana
 
Kwenye hayo majina mmoja ni hayati nyerere na mwingine ni mr magufuli, hastahili hata kuitwa hayati.
 
Ruksa kuwaenzi ila falsafa zao ni outdated kwa ulimwengu wa Sasa.Zilifaa miaka ya 70 0
 
Baada ya kuona wanaodhihaki kazi nzuri aliyoifanya Hayati JP Maguli iliwemo miradi mikubwa ,kutufikisha uchumi wa kati ,kutatua shida za wanyonge waliyokuwa wamedhulumiwa haki zao,kupambana na rushwa nk nataka wazalendo tuunde chama ambacho misingi yake itakuwa ya uzalendo uliyoonyeshwa na Hayati Baba wa taifa JK Nyerere na Hayati JP Magufuli.

Chama hiki kitapamabana na CCM mafisadi wanaojaribu kuonyesha kuwa Hayati JP Magufuli hakufanya kitu (wanabweka baada ya Simba kufa) na upinzani uchwara uliyekosa ajenda na kudandia kushabikia kifo cha JPM.

Wazendo naomba jina la chama hicho kipya tafadhali.
Jiwe dictatorship party( JDP)
 
Hata hilo ni wazo hata kama halina mashiko.
 
Mwandishi: Wakati unamfanya àlikua akisemaje?

Mhe: (Huku Katumbua Macho) Alikua Akisema Gwajima Baaasiii.... Gwajima Inatosha.... Gwajima unanikomoaaa... Gwajimaa kesho pia ni siku na ina ngare zake!

Mwandishi: Unawazungumziaje wanaokuponda mitandaoni?

Mhe: Ni wivu tu!!

Mwandishi: Lakini inaonekana ulirecord kwa makusudi, ulitaka kuionyesha nini
dunia?

Mhe: Nilitaka kuwaonyesha walimwengu kwamba "Kuzaa Mimi nazaaaa"

"Naskia kelele hizoooooooooo, kuuliza kuna nini -mchungaji kafumaniwa!!"= Alisikika muimba singeri mmoja.

"Nireteeni Gwajima.... Nireteeni Gwajima... Msinichanganyie betri na magunzi, torch haitowaka" = Ilisikika sauti kutoka kuzimu.

NB:
Viva SUKUMA GANG..... Viva MATAGA!
 
Back
Top Bottom