Nataka nitoke out na shemeji yenu. Je, niende naye wapi?

afande kifimbo

JF-Expert Member
Aug 31, 2015
6,254
2,678
SALAAAAAAM,
shemeji yeni aisee k=nataka nitoke nae kesho kidogo tubadili mazingira...kumbuka nimeamuakuwa na mtu ambaye baadae atakuwa mke....kashakuja kwangu mara mbili .....sasa kesho natoka nae.

lengo kubwa n msaada wa mahala ambapo naweza nenda naye hapa Dar na ikawa pazuri kuongea kufurahi kula kucheka utanei etc....isiwe sehemu ya kelele kama 40/40, BULLS PARK....yani sehemu neutral maan aye kwanza sio levi wa hagusi pombe....kwa haraka haraka nawaza wapi maan anlikuwa mvivu wa kutembea maeneo kam ahayo..nilikuw ana vurugu kidogo nkitoka nakuwa kwenye kelele ....

Shemeji yenu sijavunj anaye amri ya sita sin aharaka nae kwa sababu na hata tukivunja sio kwamba ntamuomba mtendo yangu tu maana juzi kala makiss na masaj matata nea mengine kapata..etc

lengo awe comfortable afurahi awe huru pia hata nikimshika kiuno nimkiss..asione aibu watu wengi?
wakuu naombeni msaada hapo ujanja wangu wote nashindwa kuload fasta kichwa kupata sehemu....

kumbukeni nimeachana na mambo ya jirani mke wa mtu walishasepaga na nimeamua niache vurugu so nina mtu wangu wa ukweli..japo michepuko ipo kidogo juzi tu nimekeshea dah yani balaa.

natanguliza shukrani
 
Mpeleke denfrance hotel maeneo ya sinza kuna chakula kizuri au mpeleke restaurant ya wa mexico iko masaki pia chakula kizuri ila bei ya chakula ili mshibe ni kuanzia 70,000 na kuendelea
 
Back
Top Bottom