Nataka nikope Tsh milioni 10 SACCOS ninunue gari. Niambie uzoefu wako ulivyokopa pesa na kununua gari

Watanzania tunaendekeza sana umasikini kwa mshahara wa 1m unaweza kopa 20m mpaka 18m kwa makato ya laki 370000....

Mi nilkopa 20m....5m nikanunua kiwanja Kigamboni

3m nikafungua kwa saloon Uko Kigamboni

10m nikanunua ist ya kuagiza kabisa SBT

Maisha yanasonga mwaka huu mwez wa Sita den linaisha nakopa tena ata 30m mana kipato kimeongezeka naanza ujenz...

Wafanyakazi hasa tusio kua na ofisi zenye dili kua na maisha standard tuitakayo lazima tuingie bank mzee
 
IST mil 10?
 
Wakuu mimi ni kijana tu under 35 yrs old kwa ajira yangu niliyobahatika nayo napata 1mil as take home, natamani sana kuwa na kigari changu cha familia maana nikipiga hesabu za elf 10 kila siku.

Za mishe za kuwapeleka outing wife na watoto wangu napoteza pesa nyingi sana mambo ya nauli ya Bolt, kwa sasa sina keshi ya kusema nitachukua ya kwangu kama 10 mil hapana ila kwenye kukopa hesabu zinakubali na kwa saving yangu kupata keshi yangu kama yangu itabidi kusubiri mitano tena.

Naombeni mnipe changamoto zitakazojitokeza baada ya kununua gari la mkopo hapo ukizingatia bado nimepanga, sijui kuendesha gari, sina leseni.

Thanks.
Nilikopa NMB nikanunua Crown Athlete lakini baada ya miezi sita nikapata ajali, liliharibika vibaya sana. KWA sasa natembelea boxer Kama zamani. Nimejua sijui
 
Nilikopa NMB nikanunua Crown Athlete lakini baada ya miezi sita nikapata ajali, liliharibika vibaya sana. KWA sasa natembelea boxer Kama zamani. Nimejua sujui
Haaaaa, pole sana.
Mi nataka nikope ninunue baiskel hata. Kitaa wanikome
 
Labda kama una extra income. Let say mkopo utalipa laki 3 kwa mwezi. Unabaki na 7. Piga mafuta na parking za mjini 20,000 na kuosha on evarage kwa siku kwa mwezi laki 4. Umebaki na laki 3. Bado chakula, ada, dharura n.k. service kila baada ya miezi mitatu/minne, bado hujagonga na kugongwa, bado tairi zikiisha.

Kwa uzoefu wangu wengi wanaochukua uamuzi kama wako wanaishia kupaki magari nyumbani na hatimaye kuyauza kwa hasara
Boss, umeshawahi kumiliki Gari?! Maana hii expirience uliyotoa ni kama ya watu sita tofauti.

1. Cost ya Fuel huwa haipo constant kiasi hicho kwasababu si kila siku zitafanana. Mafuta hutumika kutegemea na kiwango cha safari. Pia kuna siku unaweza pata mafuta ya offer au kununuliwa etc. By the way, si kila siku utatoka na gari. So hii hoja ya gharama ya mafuta ni irrelevant.

2. Kupaki gari ni swala la choice. Unaweza park gari mtaa ambao umetulia free of charge na ukaenda kufanya shughuli zako na kuirejea ukimaliza. By the way, si kila siku utatoka na gari so hii hoja ya parking pia ni irrelevant.

3. Kuosha gari hutegemea na wewe usafi wako na pia unalitunzaje. Mimi sina ratiba maalumu ya kuosha gari. Sometimes ni wiki mbili sometimes kila wiki. And huwa naosha mwenyewe. But carwash huwa napeleka nikitaka kufanya ile deep cleaning ya kusafisha kapeti na kutoa vumbi la muda mrefu. Soon nitatafuta vacuume cleaner nitapiga mwenyewe mzigo home. So sio kweli unaulazima wa kuosha gari kila siku au kila wiki na kupata hiyo cost.

4. Service ya gari hutegemea na care yako. Kuna mtu anaweza kufanya service hata baada ya miezi sita muda wa katikati huu atakuwa ni mtu wa kukagua tu gari ili iwe salama wakati anatumia. Gharama za servicing hazifanani na hazina kipindi maalumu.

Kimsingi, watu wengi wanaufahamu mdogo sana juu ya umiliki ,matunzo na matumizi ya gari. Kilichobakia ni kuhisi na kuotea vitu. Mtu anakutisha na kukwambia vitu au mambo ambayo hajawahi experience personally, hii tunaita kudanganyana.
 
Wakuu mimi ni kijana tu under 35 yrs old kwa ajira yangu niliyobahatika nayo napata 1mil as take home, natamani sana kuwa na kigari changu cha familia maana nikipiga hesabu za elf 10 kila siku.

Za mishe za kuwapeleka outing wife na watoto wangu napoteza pesa nyingi sana mambo ya nauli ya Bolt, kwa sasa sina keshi ya kusema nitachukua ya kwangu kama 10 mil hapana ila kwenye kukopa hesabu zinakubali na kwa saving yangu kupata keshi yangu kama yangu itabidi kusubiri mitano tena.

Naombeni mnipe changamoto zitakazojitokeza baada ya kununua gari la mkopo hapo ukizingatia bado nimepanga, sijui kuendesha gari, sina leseni.

Thanks.
Umasikini wa mwafrika unakopa 10milion unanunua gari. Bullshit.
 
Kula raha bhana utasimulia mini sasa m10 tuu ndio unawaza hivyo hiyo si unaonga pic kali moja na inaisha for one day.
 
Ushauri wangu:

1. Nunua kiwanja cha 5m

2. Nunua gari ya 5m (utapata gari dogo lililopo kwenye hali nzuri).

Uiendeshe mdogo mdogo hadi umalize deni la kikoba.

Ukirudia mkopo wa pili, unajenga nyumba.(Size ya hiyo hela uliyokopa) uimalize uhamie.

Mkopo wa tatu uongezee na hela ya hiyo gari uliyonayo uagize gari zuri utakalo kwa pesa uliyonayo.
Ushauri nzuri huu!
 
Gar sio kitu cha starehe tena ni kitu cha lazima ukiwa kwenye umri flan unaokulazimu uwah kazin ukiwa umevaa kitanashati ukiwa na biashara za hapa na pale lazima umentain status aisee achaneni na mawazo mgando watz
Hiyo status lazima iendani na kipato. Binafsi sishauri mtu akope anunue gari la kutembelea. Kopa kuendeleza biashara, siyo kutumia kwa matumizi ambayo hayataingiza hela ku service mkopo.
 
Boss, umeshawahi kumiliki Gari?! Maana hii expirience uliyotoa ni kama ya watu sita tofauti.

1. Cost ya Fuel huwa haipo constant kiasi hicho kwasababu si kila siku zitafanana. Mafuta hutumika kutegemea na kiwango cha safari. Pia kuna siku unaweza pata mafuta ya offer au kununuliwa etc. By the way, si kila siku utatoka na gari. So hii hoja ya gharama ya mafuta ni irrelevant.

2. Kupaki gari ni swala la choice. Unaweza park gari mtaa ambao umetulia free of charge na ukaenda kufanya shughuli zako na kuirejea ukimaliza. By the way, si kila siku utatoka na gari so hii hoja ya parking pia ni irrelevant.

3. Kuosha gari hutegemea na wewe usafi wako na pia unalitunzaje. Mimi sina ratiba maalumu ya kuosha gari. Sometimes ni wiki mbili sometimes kila wiki. And huwa naosha mwenyewe. But carwash huwa napeleka nikitaka kufanya ile deep cleaning ya kusafisha kapeti na kutoa vumbi la muda mrefu. Soon nitatafuta vacuume cleaner nitapiga mwenyewe mzigo home. So sio kweli unaulazima wa kuosha gari kila siku au kila wiki na kupata hiyo cost.

4. Service ya gari hutegemea na care yako. Kuna mtu anaweza kufanya service hata baada ya miezi sita muda wa katikati huu atakuwa ni mtu wa kukagua tu gari ili iwe salama wakati anatumia. Gharama za servicing hazifanani na hazina kipindi maalumu.

Kimsingi, watu wengi wanaufahamu mdogo sana juu ya umiliki ,matunzo na matumizi ya gari. Kilichobakia ni kuhisi na kuotea vitu. Mtu anakutisha na kukwambia vitu au mambo ambayo hajawahi experience personally, hii tunaita kudanganyana.
Kijana uko serious kweli?
 
Nakushauri jenga kwanza hizo gharama zitakazopungua kutoka kwenye kodi nafikiri zitapunguza muda wa wewe kulipata gari na hela zako mwenyewe maana wakati huo utakuwa unaishi kwako ulipi kodi na stress huna. Ila by the way uchaguzi ni wako.
 
Gharama za gari miaka 4 inaweza kuwa sawa na gharama ya kununulia gari usipoluwa makini...... Nunua gari unayoimudu, pia katia bima kubwa...... Hela ya mkopo kununua liability tena ni mzigo.........

Fanya kununua tu maana itakupungizia gharama za uber na bolt, na utawahi fika kazini na kurahisisha mitoko yako...

Ila usiwe na kipato cha kubabaisha maana wengi wanapaki gari kisa gharama za kuendesha zimeyumba
 
Back
Top Bottom