Nataka nikope pesa Bayport

Miaka ileeee, si nikapata demu mwalimu!! Haikunichukua muda kugundua alikuwa anaishi maisha ya dhiki sana kutokana na mkopo aliokuwa amechukua hapo Bayport. Nilipomuuliza kiwango cha mkopa alichochukuwa, akanitajia!!

Mzee na misifa yangu nikaona kamkopo ambako hakajafika hata 1M naweza kuka-prepay mara moja, na hivyo nikamwambia aende Bayport wampe statement na kiasi anachodaiwa!!

Nisiseme mengi, in short tu baada ya kurudi na deni analodaiwa, nikamwambia "mama, pambana na hali yako!"
 
Hahahahaha halafu nimekumiss eby malizia basi hii story
 
Baypot ni matapeli genuine.
Unachokisain kwenye mkataba sicho kinachotokea kwenye makato.
Mimi niliwahi kuchukua mkopo kwao wa mwaka 1 Ysh.600000/= coz nilikuwa chuo nilikwama Ada, lakn mkopo kwenye salary slip ulisoma miaka 3,
KWAKWELI NI TAASISI AMBAYO HAIFAI KABISA.
YOU MEAN NO BINDED LOANS TERMS?/ kama hauko binded kwa specific time mjinga ni wewe wakati wa kusaini debenture" unakurupuka.,mkopo wowote huwa una term of repayments.
 
mhudum alinambia nkikopa mil 1.5 ikikatwa ndan ya miez tisa riba itakuwa lak tatu na nusu!!! sasa wew unaposema mil 2 riba iwe mil 4 kvp mkuu hebu elezea
Wanakuonea wivu nenda kakope tu mkuu.

Mchuma janga hula na wakwao.
 
Mi nilikopa mil 10 na walikuwa fasta sana, na makato yalikuwa kidogo sana hadi nikamaliza deni!
Riba ni ndogo sana aisee
Kifupi wapo vizuri sana, na wanakupigia simu kila mwezi kukujulisha umebakiza kiasi gani, ukienda ofisin unapewa statement yako clear kabisa
Alafu unaweza kuwaomba upitishe mwezi kama unahisi wakikata huo mwezi mambo yako hayatakuwa vzuri
Bayport ni mkombozi wa wafanyakazi kwa kweli
 
Wewe utakuwa ni mmoja wao...acha kutuzuga hapa uwainigize watu mkenge
 
Mi nilikopa mil 10 na walikuwa fasta sana, na makato yalikuwa kidogo sana hadi nikamaliza deni!
Riba ni ndogo sana aisee
Kifupi wapo vizuri sana, na wanakupigia simu kila mwezi kukujulisha umebakiza kiasi gani, ukienda ofisin unapewa statement yako clear kabisa
Alafu unaweza kuwaomba upitishe mwezi kama unahisi wakikata huo mwezi mambo yako hayatakuwa vzuri
Bayport ni mkombozi wa wafanyakazi kwa kweli
Wewe utakuwa umetumwa kuja kuwasafisha, nina mfano hai kuna ticha mmoja amekopa million 6 ila mpaka leo anakatwa zaidi ya laki 3 na kwenye slip inaonyesha bado anadaiwa million 14, alianza kukatwa tangu mwaka juzi
 
Kwamfano umewauliza leo imebaki miaka miaka mingapi umalize deni lako watakujibu bado miaka mitano ukijaa baada ya miaka miwili wanakwambia miaka mitano ile ile
 
wadau anaowafaham vzur bay pot kuhusu makato yao anjuze,maana nataka nkakope kwao leo hii
Unapochukua mkopo lazima ujue utaratibu wa marejesho upoje! Bayport makato huenda monthly ambayo ni 3% that means annual interest ni 36%. Hivyo ukichukua mkopo fikiria interest pia muda utakao kaa nayo hiyo hela!

Baada ya hapo fanya maamuzi ukiwa na taarifa hizo
 
Mi nilikopa mil 10 na walikuwa fasta sana, na makato yalikuwa kidogo sana hadi nikamaliza deni!
Riba ni ndogo sana aisee
Kifupi wapo vizuri sana, na wanakupigia simu kila mwezi kukujulisha umebakiza kiasi gani, ukienda ofisin unapewa statement yako clear kabisa
Alafu unaweza kuwaomba upitishe mwezi kama unahisi wakikata huo mwezi mambo yako hayatakuwa vzuri
Bayport ni mkombozi wa wafanyakazi kwa kweli
THATS GOOD! bwana mdogo kuna watu wanamuonea wivu.
 
Wewe utakuwa umetumwa kuja kuwasafisha, nina mfano hai kuna ticha mmoja amekopa million 6 ila mpaka leo anakatwa zaidi ya laki 3 na kwenye slip inaonyesha bado anadaiwa million 14, alianza kukatwa tangu mwaka juzi
Yapo mambo ya kijinga kabisa utaonaje deni lako halipungui na limeongezeka na wewe kwa ujinga wako ukakaa kimya tu badala ya kwenda ngazi ya juu na ku question why this? / Tukubali kuna upoyoyo katikati.
 
Back
Top Bottom