Sosthenes Maendeleo
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 2,648
- 1,493
Mmapotosha Tu na kuharibia watu kazi, Bayport riba yao hawana tofauti na benki za kifedha. Sema wanaweza kupitiliza muda wa makato (haijawahi nitokea ila kuna mtu alikatwa)
Binafsi sijawahi kusikia sifa nzuri za Bayport zaidi ya ubaya wake
Hahahahaha halafu nimekumiss eby malizia basi hii storyMiaka ileeee, si nikapata demu mwalimu!! Haikunichukua muda kugundua alikuwa anaishi maisha ya dhiki sana kutokana na mkopo aliokuwa amechukua hapo Bayport. Nilipomuuliza kiwango cha mkopa alichochukuwa, akanitajia!!
Mzee na misifa yangu nikaona kamkopo ambako hakajafika hata 1M naweza kuka-prepay mara moja, na hivyo nikamwambia aende Bayport wampe statement na kiasi anachodaiwa!!
Nisiseme mengi, in short tu baada ya kurudi na deni analodaiwa, nikamwambia "mama, pambana na hali yako!"
YOU MEAN NO BINDED LOANS TERMS?/ kama hauko binded kwa specific time mjinga ni wewe wakati wa kusaini debenture" unakurupuka.,mkopo wowote huwa una term of repayments.
Wanakuonea wivu nenda kakope tu mkuu.mhudum alinambia nkikopa mil 1.5 ikikatwa ndan ya miez tisa riba itakuwa lak tatu na nusu!!! sasa wew unaposema mil 2 riba iwe mil 4 kvp mkuu hebu elezea
Wewe utakuwa ni mmoja wao...acha kutuzuga hapa uwainigize watu mkengeMi nilikopa mil 10 na walikuwa fasta sana, na makato yalikuwa kidogo sana hadi nikamaliza deni!
Riba ni ndogo sana aisee
Kifupi wapo vizuri sana, na wanakupigia simu kila mwezi kukujulisha umebakiza kiasi gani, ukienda ofisin unapewa statement yako clear kabisa
Alafu unaweza kuwaomba upitishe mwezi kama unahisi wakikata huo mwezi mambo yako hayatakuwa vzuri
Bayport ni mkombozi wa wafanyakazi kwa kweli
We hata hao bayport huwajui, siwezi ongea na ww! Kaa kimya kabisaWewe utakuwa ni mmoja wao...acha kutuzuga hapa uwainigize watu mkenge
Wewe utakuwa umetumwa kuja kuwasafisha, nina mfano hai kuna ticha mmoja amekopa million 6 ila mpaka leo anakatwa zaidi ya laki 3 na kwenye slip inaonyesha bado anadaiwa million 14, alianza kukatwa tangu mwaka juziMi nilikopa mil 10 na walikuwa fasta sana, na makato yalikuwa kidogo sana hadi nikamaliza deni!
Riba ni ndogo sana aisee
Kifupi wapo vizuri sana, na wanakupigia simu kila mwezi kukujulisha umebakiza kiasi gani, ukienda ofisin unapewa statement yako clear kabisa
Alafu unaweza kuwaomba upitishe mwezi kama unahisi wakikata huo mwezi mambo yako hayatakuwa vzuri
Bayport ni mkombozi wa wafanyakazi kwa kweli
Wewe utakuwa umetumwa kuja kuwasafisha, nina mfano hai kuna ticha mmoja amekopa million 6 ila mpaka leo anakatwa zaidi ya laki 3 na kwenye slip inaonyesha bado anadaiwa million 14, alianza kukatwa tangu mwaka juzi
Ni kweli ndugu yaani mpaka ndugu yake akaamuuliza mwenzetu unajenga wapi kwasababu aliona deni lililobaki kwenye salary slipDuuuh...
Unapochukua mkopo lazima ujue utaratibu wa marejesho upoje! Bayport makato huenda monthly ambayo ni 3% that means annual interest ni 36%. Hivyo ukichukua mkopo fikiria interest pia muda utakao kaa nayo hiyo hela!wadau anaowafaham vzur bay pot kuhusu makato yao anjuze,maana nataka nkakope kwao leo hii
THATS GOOD! bwana mdogo kuna watu wanamuonea wivu.Mi nilikopa mil 10 na walikuwa fasta sana, na makato yalikuwa kidogo sana hadi nikamaliza deni!
Riba ni ndogo sana aisee
Kifupi wapo vizuri sana, na wanakupigia simu kila mwezi kukujulisha umebakiza kiasi gani, ukienda ofisin unapewa statement yako clear kabisa
Alafu unaweza kuwaomba upitishe mwezi kama unahisi wakikata huo mwezi mambo yako hayatakuwa vzuri
Bayport ni mkombozi wa wafanyakazi kwa kweli
Yapo mambo ya kijinga kabisa utaonaje deni lako halipungui na limeongezeka na wewe kwa ujinga wako ukakaa kimya tu badala ya kwenda ngazi ya juu na ku question why this? / Tukubali kuna upoyoyo katikati.Wewe utakuwa umetumwa kuja kuwasafisha, nina mfano hai kuna ticha mmoja amekopa million 6 ila mpaka leo anakatwa zaidi ya laki 3 na kwenye slip inaonyesha bado anadaiwa million 14, alianza kukatwa tangu mwaka juzi