Nataka nikimbie hii nchi, nchi gani Africa ina fursa nyingi za kiuchumi?

Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Oct 23, 2016
2,070
3,705
Hapo hapo!

Wadau mpaka nimefikia kuandiaka hivyo, nina maanisha nimedhamiria kukimbia nchi yangu.

Wadau ni nchi gani Africa inafursa nyingi za kiuchumi na nirahisi kutoka kwa urahisi.

Si maanishi Tanzania hakuna fursa lakini hali ya hewa sasa haipo rafiki na fursa mbalimbali.
 
Somalia, hususan Mogadishu kumechangamka kinoma. Mahoteli yanachipuka kila kukicha.
 
Hapo hapo!

Wadau mpaka nimefikia kuandiaka hivyo, nina maanisha nimedhamiria kukimbia nchi yangu.

Wadau ni nchi gani Africa inafursa nyingi za kiuchumi na nirahisi kutoka kwa urahisi.

Si maanishi Tanzania hakuna fursa lakini hali ya hewa sasa haipo rafiki na fursa mbalimbali.

Nenda Sudan ya kusini huko watu bado wamelala usingizi wa pono
 
Sudan kusini kuna fursa nyingi sana maana vitu vingi ndio vinaanza. Hata NGOs nyingi, Research institutions na wafanya biashara wengi wanaelekea huko kujaribu kutatua changamoto nyiiiingi za nchi hiyo. Kumbuka changamoto ndio fursa. Tatizo ni hali ya amani tu ila kama ukitumia ile principle ya get rich au die trying utaweza tu
 
Zimbabwe poa sana! Raise mpya sasa hivi karanga za fursa nzuri sana za watu kwenda inverst in Zimbabwe. Km upo seriously nitakupa link ya whatapps group ya inverst in Zimbabwe.
 
Back
Top Bottom