Nataka nikatafute maisha Zanzibar, nielekezeni nianzie wapi

Kauze kitimoto kule ni scarcity sana demand lazima iwe juu na price ita go up
 
ntakuja na uzi nlifanikiwa ila nkaingiza hela kwenye korosho hakuna dalili za kulipwa hapa so naangalia kiac kilichobaki bank nianzishe biashara nyingine
Kama ulifanikiwa kwanini kiasi kilichobaki bank usiwekeze hapohapo kwenye matkiti
 
Hii thread imenifumbua macho. Nilitaka kuzamia huko Zenj sasa basi, hebu nihamishie mafaili Kisumu.
 
Kama ulifanikiwa kwanini kiasi kilichobaki bank usiwekeze hapohapo kwenye matkiti
Matikiti soko lake kwa sasa haliko poa, matunda mengine mengi yapo sokoni. Nitalima tena mwezi wa 1 nivune wa 3 ili nikutane na soko zuri.
 
Nimechoka kuishi bara biashara zinayumba maisha magumu kilimo ndo usiseme je naweza kuanzisha hata duka la vyakula vya majumbani? mtaa gani umechangamka na unaweza kufanya biashara kwa mtaji wa 3 Millions

Jaza sinia paketi za korosho kisha randisha mitaani, wenzako wakija ZANZIBAR ndivyo wanavyofanya.

Nilimsikia muuza korosho mmoja kampigia simu mwenzake aliyepo Bara, “Fanya uje ZANZIBAR mimi huku nalaza 2000 kwa kila siku”. Kwa hiyo na wewe fursa hiyo usiiache.
 
Analaza 2000?
 
Back
Top Bottom