Kama ulifanikiwa kwanini kiasi kilichobaki bank usiwekeze hapohapo kwenye matkitintakuja na uzi nlifanikiwa ila nkaingiza hela kwenye korosho hakuna dalili za kulipwa hapa so naangalia kiac kilichobaki bank nianzishe biashara nyingine
Ndio iko hivyo nikiamka lazima nipapase kwa wife..Mitanganyika ikiamka tu inwaza kwenda zanzibar
Mitanganyika ikiamka tu inwaza kwenda zanzibar
Nimechoka kuishi bara biashara zinayumba maisha magumu kilimo ndo usiseme je naweza kuanzisha hata duka la vyakula vya majumbani? mtaa gani umechangamka na unaweza kufanya biashara kwa mtaji wa 3 Millions
Analaza 2000?Jaza sinia paketi za korosho kisha randisha mitaani, wenzako wakija ZANZIBAR ndivyo wanavyofanya.
Nilimsikia muuza korosho mmoja kampigia simu mwenzake aliyepo Bara, “Fanya uje ZANZIBAR mimi huku nalaza 2000 kwa kila siku”. Kwa hiyo na wewe fursa hiyo usiiache.
Analaza 2000?
Unakua umeshatoa ya kula?Kwa mmachinga ni nyingi hizo.
Unakua umeshatoa ya kula?