nataka nijue moderator aliye kwenye hili jukwaa kabla sijatoa maamuzi magumu

Teh teh teh!!! Guys you really made my day...Yaani nimecheka hadi machozi yamenitoka...ngoja nikafanye kazi mie kibarua kisije kikaota nyasi.

kwani upo nchi gani mkuu? au unaruka na ungo? hahahaaa...!!.Guy you real made my day. Mia
 
Mkuu meezy,unakwenda kibaruani usiku wa manane?
Btw figga munkari umeshuka?
Mia

Hauwezi kushuka sababu mda unavyo enda ndivyo munkari unapanda. nakuambia mod aliye husika sasa tumbo joto. aanakojoa kila baada ya dakika. chezea figganigga weye?. Mia
 
Back
Top Bottom