Nataka nijue faida za kuwa mjumbe wa NEC

Chadema vipi? hakuna huko kugombea wajumbe? au huko anaamuwa Mwenyekiti? fulani na fulani na fulani?
 
Faida nyingine Unaweza kuwa promoter wa kupeleka wasanii marekani.
 
[h=2]Nukuu Sita za Nyerere ambazo CCM hawana budi kuzitafakari kwa makini sana leo hii [/h] 1. "Amini nawaambieni enyi Waswahili wachache mnaotawala; mnategemea kweli kuwa mtawaongoza Watanzania kwa lazima wakati wamepoteza matumaini, na mtegemee kuwa watasalia wamekaa kimya kwa amani na utulivu?"
2. "Amani ni zao la matumaini, pindi matumaini yatakapotoweka kutakuwa na vurugu katika jamii."
3. "Nitashangaa kama hawa Watanzania watakataa kuasi. Kwanini wasiasi?"
4. "Wakati wengi wa wananchi wanapopoteza matumaini unajenga volcano. Volcano hii italipuka siku moja. Labda kama watu hawa ni wajinga."
5. "Na hakutakuwa na watu wa kizazi hiki na karne hii ambao watatakiwa kujitoa muhanga kwa ajili ya maisha bora katika siku zijazo wakakubali, wakati wanawaona watu wachache wakiendelea kuneemeka machoni pao bila kujali wakati ujao, wakati wao na watoto wao wakiendelea kuishi katika maisha duni na dhalili."
6. "Watanzania watakuwa ni wajinga na mataahira, kama watakubali kuendelea kukandamizwa na watu wachache katika nchi yao wenyewe...."


Na ya saba ambayo aliitoa siku nyingi sana;

7. "Siku inakuja ambapo watu watachagua kifo kuliko fedheha na ole wao wale watakoiona siku hiyo! Na ole wao wale watakakaoifanya siku hiyo isiepukike. Natumaini na kusali kuwa siku hiyo kamwe haitofika" - Mwalimu Nyerere (Januari, 1966)

Na nyingine ya nane;

8. "Kwani fursa iko mbele yetu na inategemea kama tuna ujasiri wa kuichukua. Kwani uchaguzi uliopo siyo kati ya kubadilika au kutobadilika; uchaguzi kwa Afrika ni kati ya kujibadilisha au kubadilishwa – kubadilisha maisha yetu wenyewe kwa mwongozo wetu, au kubadilishwa na matokeo ya nguvu zilizo nje ya udhibiti wetu.. .Tunapendelea kushiriki katika kutengeneza hatima yetu sisi wenyewe" –MwalimuNyerere (Januari, 1966)

 
SISIEMU ni chama hatari sana sana kinapandikiza udini,ukabila na mauaji Tanzania,Chama hiki 2010 kilikataliwa sana mijini,lakini kwa sasa mpaka vijiji ndanindani huko wote wazee kwa vijana wamekikataa hawakitaki tena,hawataki hata kukisikia wanasema 2015 lazima wakichinjie baharini.
 
Chadema vipi? hakuna huko kugombea wajumbe? au huko anaamuwa Mwenyekiti? fulani na fulani na fulani?
SISIEMU ni chama hatari sana sana kinapandikiza udini,ukabila na mauaji Tanzania,Chama hiki 2010 kilikataliwa sana mijini,lakini kwa sasa mpaka vijijini ndani ndani huko Maswa,Meatu,Bukombe,Ukerewa n.k.,wote wazee kwa vijana wamekikataa hawakitaki tena,hawataki hata kukisikia wanasema 2015 lazima wakichinjie baharini.
 
kigezo cha kwanza huwa ni uzalendo,uaminifu na uchapakazi.hayo uliyoandika wewe ni uzushi mtupu

mkuu tuache ebu tuweke itikadi zetu pembeni tuzungumze ukweli kabisa kwa hali ya sasa kisiasa ndani ya ccm ujumbe wa nec unazingatia uaminifu na uzalendo? kwanini basi kama ni hivyo inakuwaje utumie hela yako kwa ajili ya kununua vitumbua? na kama una uzalendo inakuwaje mnafikia hatua ya kutoleana bastola? hii inadhihirisha kabisa kuwa kuna asali hapo kwa vyovyote watatumia njia zozote ili apate kuilamba. huu ni mtazamo wangu jinsi mambo yanavyoenda
 
NEC ni kamati ya juu kabisa kimamuzi katika chama. Hivyo, Ndio yenye kuleta rais, kuidhinisha m/kiti wa chama na makatibu. Na ndo maana kuna vikumbo sana
 
NEC ni kamati ya juu kabisa kimamuzi katika chama. Hivyo, Ndio yenye kuleta rais, kuidhinisha m/kiti wa chama na makatibu. Na ndo maana kuna vikumbo sana

Ni chombo ambacho hakitakua na maana yoyote miaka miwili na nusu kutoka sasa!
 
Ni kweli kwamba kuwa kiongozi katika zama hizi ni biashara, na kwamba sio kama ilivyokuwa mwanzo ambapo viongozi walipimwa kutokana na uadilifu wao wakati kwa sasa ambapo mita ya kupimia uadilifu imeharibika inatumika ya kupimia pesa kwa niaba ya ile ya kupimia uadilifu.
 
Chadema vipi? hakuna huko kugombea wajumbe? au huko anaamuwa Mwenyekiti? fulani na fulani na fulani?
acha kuwa na akili kama ZOBA jibu hoja habari ya cdm ilikuwa ulete hiyo hoja. Au hii ID ni ya chemba nini
 
Mjumbe wa nec manake ni mujumbe wa kikao cha juu kabisa cha maamuzi cha chama kazi yake kubwa ni kutoa dira na mwelekeo wa chama iwe ccm au tlp au chadema.tusipindishe ukweli na maana za vitu


Mbona wanao ng'ang'ania nafasi hzo ni watu wakubwa, wenye vyeo ,utajiri au biashara kubwa, hivi babu yangu pale

magomeni bgmoyo anaweza kweli kupata nafasi hiyo ya kuapanga, na kuratibu mwelekeo wa chama kama ulivyo mtizamo wako????????? TAFAKARI, CHUKUWA HATUA..................VUA GAMBA................VAA UZALENDO...................
 
Bila kuwa Mjumbewa NEC wana siasa wanajiona hawana kitu hasa kutokuwemo kwenye maamuzi ya chama;wanajiona wanapwaya kabisa,maana pia ile heshima na uzito wa kuwa MINEC si mchezo una nguvu fulani kwenye chama!!!nasikia wanalipwa kila mwezi 1m na chama chao!
 
Back
Top Bottom