Nataka nijilipue kwa hii Music sound hapa!

Crimea

JF-Expert Member
Mar 25, 2014
24,894
33,452
Wakuu kuna mada humu inaongelea juu ya music hasa wa nyumbani.
Basi kuna wadau wametiririka sana, nikaona wengi wametaja kampuni ya BOSE kuwa ndio the best home sound ever

Sasa na mie nataka nijibebee moja hii nmeikuta kwenye page ya Alibaba.

Ushauri wenu waku hasa kwenye ishu ya kama nikilipia mzigo wangu utanifikia salama kweli.
Screenshot_2019-08-09-10-21-11.jpeg
Screenshot_2019-08-09-10-21-24.jpeg
Screenshot_2019-08-09-10-21-30.jpeg
 
kwani Bar yako unaifungua lini
mimmi mamuziki yenye sauti kaa tupo kilabu cha kimpumu siyataki kabisa
hatusikilizani hata ukiwa kwenye gari badala kusikia sauti ya injini, giabox, fen na matairi mtua anataka mipasho
samahanini vijana
 
Jilipue mkuu ule mema ya duniani maisha yenyewe mafupi haya
 
Back
Top Bottom