Katika shule nilizopitia nimejifunza kidogo,najua vitu vidogo vidogo kama Capacitors,Diode, Transistor, Rectifier, Transformer etc.
Lakini kama mnavojua ni elimu tu ya kujibia mtihani. Ila ikitokeaga nikafungua ndani ya electronic device naonaga tu Marinjirinji.
Natamani sana kujua hizi vitu in detail, kama title inavojieleza. Nataka nijifunze seriously,mwenyewe tu kihome home. Nna mavitu kibao home ya kupractice mabovu nyumbani.
Msaada nnao hitaji ni kama ifuatavyo:
1. Content nnayotakiwa kucover na terminologies zainisaidie kugoogle.
2. Kama kuna vitabu,online au hardcopy,hata kama ni cha kununua
3. Kama kuna course online, YouTube ambazo zina kitu nnachokitaka na jinsi ya kuzipata
Lengo:
Niweze tu kuanalyze circuit na nikajua component gani ni mbovu,
Nawasilisha