Nataka nifanye utafiti/research nianzie wapi?

Dah hiyo ni project kabisa na inahitaji propasal nakumbuka proposal inabidi iwe na
1 .Tittle
2.Introduction
3.Literature review
4.Objectives
5.Methodology
6.Data collection
7.Discussion
8.Recommendation
9.Conclusion
10.References

Ndio nakumbuka hiyo format waweza tumia pia wengine wenye uzoefu waweza kosoa hapo juu.
Ufafanuz mzuri kabisa huu
 
Asante kwa ushauri, lakini pia jaribu kuelewa maana ya mtu anayehitaji ushauri
Ndiyo ushauri umepewa vyema, hatua za kufanya ni km hizo ila nini utatafiti ni juu yako kujua njia/methodologies zipi zitumike kutegemea sampli za data unazozitaka na wapi utazipata.
 
Ndiyo ushauri umepewa vyema, hatua za kufanya ni km hizo ila nini utatafiti ni juu yako kujua njia/methodologies zipi zitumike kutegemea sampli za data unazozitaka na wapi utazipata.
Ni kweli na nashukuru kwa ushauri wenu maana sina supervisor hivyo nahitaji ushauri wa karibu ili nisikosee
 
Mpaka tumekutana kwenye thread hii natumai wengi wetu ni wazima na wale wenye udhaifu kiasi basi Mungu atufanyie wepesi .

Kabla ya yote ningependa kutoa maelezo binafsi ili kupunguza maswali huko mbele

Mimi ni mwalimu wa sekondara mkoan Lindi na nimekua mwalimu wa nidhamu na malezi tangu nlipoanza kazi, hivyo nmekua na ukaribu kwakiasi Fulani na wanafunzi pamoja na wazazi wao .

Tokea niwe mwalimu mlezi, nmekua nikikutana na changamoto mbali mbali za wanafunzi na mazingira yao, kiukweli kuna baadhi ya changamoto sikuwah kufikiria Kama kweli zipo japo huku inaonekana ni kawaida .

Sasa kutokana na hizo changamoto nmejikuta natamani kujua zaidi na zaidi na hapo badae nipate njia bora ya kuwasaidia

Najua nguvu yangu ni ndogo hivyo nmewaza kufanya tafiti ili niiweke kwenye maandishi na wakipatikana watakao weza kuitumia na waitumie ,kwa kuwa nataka nakala moja niipeleke halmashauri kwa matumizi ya wilaya na nyingine nibaki nayo Mimi kwajili ya matumizi yangu binafsi na kitaaluma zaidi

Na utafiti wangu nataka ujikite kujua sababu inayowafanya
1:wafanye vibaya hasa wakifika kidato cha pili
2:wapate mimba
3:wawe na msukumo mdogo wa kusoma na hii hasa kwa watoto wa kike kwa kuwa watoto wakike wanapoanza kidato cha kwanza huwa wapo vizuri Sana, lakini punde wafikapo kidato cha pili wanaanza kufanya vibaya na wengine kuacha shule na hatimaye wengine hupata ujauzito

Nataka tafiti yangu iwe bora na iweze kutumiwa na mtu yeyote ndani na nje ya nchi
SASA CHANGAMOTO ZANGU NI HIZI
1:nianzie wapi
2:je kuna ulazima wa kuwa na supervisor? Na Kama ni lazima ntampataje huku wilayani

4:je kuna haja yakuandaa research proposal? Au naweza anza tu maana chapter one ina cover hiyo
4:literature riview naweza tumia vitabu vya mtandaoni na ikawa sawa tu
5:pia naombeni msaada wa namna ya kudesin research title nzuri
anzia kweny kiuno
 
Unaaibisha walimu wenzio, kweli mwalimu wa sekondari unaweza kuuliza maswali ya kitoto namna hii ?

Sent from my iPhone6 using JamiiForums mobile app
 
Jaribu kujisomea zaidi ktk hayo unayotaka kuyafanyia utafiti ili uelewa kama kuna wengine wameshawahi kuyafanyia kazi, na yalikuwa yanaelezea nhini haswa.., na kipi hawajakigusa ili nawe uweze kujua utaanzia wapi.
Kwa upande wa kuwa na supervisor, ningekushauri umtafute na hii inawezekana kama ungependa kujiendeleza kielimu. Kama utafiti wako ungeweza kuufanya ktk ngazi ya shahada ya uzamili ingenoga zaidi..., na pia kama ungeweza kuandaa chapisho ungewafikia watu wengi zaidi ya hao wa halmashauri.

Kila la kheri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaaibisha walimu wenzio, kweli mwalimu wa sekondari unaweza kuuliza maswali ya kitoto namna hii ?

Sent from my iPhone6 using JamiiForums mobile app
Mkuu huko kwenu mmeendelea Sana, hadi watoto wanaandika research .
 
Andaa research proposal upate funding, baadaye mambo mengine ni rahisi tu,... Ila ii research ishafanywa jaribu database za twaweza kucheki kabla ujaandika proposal ili usijikompromise,... Na upate good research title ya kuanzia,
 
Andaa research proposal upate funding, baadaye mambo mengine ni rahisi tu,... Ila ii research ishafanywa jaribu database za twaweza kucheki kabla ujaandika proposal ili usijikompromise,... Na upate good research title ya kuanzia,
asante sana mkuu,ngoja nijaribu kupitia na hiyo data base
 
Kabla ya research lazima ujue tatizo unalotaka kulifanyia research kisha andaa title isiyosidi maneno 18 na hy title yako lazima iwe researchable,
Na mitandaoni lazima upite maana hakuna research mpya ndy maana ikaitwa research it means unarudia kilichowahi kufanyika sehemu flani sio lazima iwe Tanzania bila kusoma research zingine zinazoendana na research yako huwezi kupata litreture review, kwa hy andaa kwanza title kisha nenda google andika title yako alafu Mbele yake weka neno PDF itakuleta research zingine zinazofanana na hy yako, jinsi ya kuandika title pia ingia google andika how to write good research title PDF itakuletea vitabu mbali mbali na majarida utasoma utaandaa title yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeniongezea kitu
 
Ama kweli UALIMU NI WITO.
ulisoma chuo gani mkuu, hata INSHU ndogo hivyo na experience yako KAZINI hujui kitu?
MNA LILIA KUPANDA MADARAJA, NA NYONGEZA YA MISHAHARA kumbe ni mbumbuuuu
KWELI SERIKALI IKO MAKINI.

Sent from my itel it1507 using JamiiForums mobile app
 
Najua wengi watambeza mwalimu ila niwakumbushe kuwa kuna vyuo havichukulii serious issue ya research na wanaisoma tu theory bila kufanya research kabisa hivyo wahitimu kuwa na ujuzi mdogo.

Hongera kwanza,
Hongera researh title yako ambayo ina viariable 2 hapo huwezi kuepuka neno ' performance' plus others

Proposal ni lazima maana inaonesha mpango kazi wako, hitaji la wewe kufanya research, methodology gani utatumia, saple and sampling, knowledge gap (maana wewe sio wa kwanza kufanya hii), n. k

Natamani nikusaidie ila naona uvivu kuandika mambo mengi hivi humu hamna ile kubonyeza nijirecord nitume audio?
 
Back
Top Bottom