Pawaga
JF-Expert Member
- Feb 14, 2011
- 1,330
- 966
Mi nina connectionUkikamilisha usajili kwa vd unapata 300@line.
200*300=60000
Ila hata kwa hizo 40
40*1000=40000 hii ni anayolipa mteja
40*300=12000 commission
Kama una connection unapata zaid
Mi nina connectionUkikamilisha usajili kwa vd unapata 300@line.
200*300=60000
Ila hata kwa hizo 40
40*1000=40000 hii ni anayolipa mteja
40*300=12000 commission
Kama una connection unapata zaid
Hapo sawa hata mimi ninayoila nimeanza mwezi huu kwa hiyo sijui utamu wakeMi nina connection
MKUU PawagaMi nafanya hii kaz nikichanganya na M-pesa na tigo Pesa.
Ebwana huku ni kuzur asikudanganye mtu nalaza wastan wa 14000 daily. Mwisho wa mwez commission ya 60000
Yaan
14000 * 30 = 420000
Commission =60000
Jumla/mwe 480,000
Hiyo ni usajili wa line tu bado COMMISSION ya mpesa. Karibu sana huku ni zaid ya ajira.
Kumbuka: hizo ni gharama baada ya kutoa chakula cha mchana.
Hili ni tatizo la Watu wengi na nisha wahi kusema kinacho sababisha vijana hasa Graduate wasijiajiri ni Aibu.
Yaani mtu anaona kuliko hata auze maji stend bora ake nyumbani.
Kuna aibu zifuatazo.
- Aibu kwamba rafiki zangu watanioanaje
- Ndugu wa karibu
-Graduate wenzangu
- Baba mkwe/mama mkwe
- Mke/mme/ mchumba/demu
Mimi huwa nasema hii dunia niko pekeee nimezaliwa pekee na siku nikifa najuga peke na sitazikwa na mtu ndani ya kaburi bali nitakua peke yangu kwenye jeneza.
Siwezi acha kufanya jambo kwa sababi ya kumuogop fulani.
Usione watu wako na tai ofisini wanalipwa pesa za ajabu sana.
We piga kazi Duniani uko peke yako