Nataka nifanye biashara ya magazeti kisasa, faida yake ikoje?

I AM NO ONE

JF-Expert Member
Aug 7, 2020
389
576
Habari wakuu, napenda kujua hii biashara ya magezeti inafanyikaje na faida yake ipoje nataka niifanye kisasa zaidi.
 
"kisasa zaidi" unamaanisha nini mkuu, tuanzie hapo kwanza...
Yan nina mawazo nifungue kitu ambacho kama bookshop ikiwemo magazeti ila ni eneo la pembeni ya barabara ntaweka nasehem ya kupumzika kwaio utaweza kukodi gazeti lako utakaa nalo nakusama hapo kwa mda utao taka ww.pia sio gazeti tu hta kitabu chochote unakod unakaa hapo nje unasoma.
 
Inategemea unataka uandike habari zipi, kama haziwafurahishi watu, jiandae kuongeza maadui
 
Back
Top Bottom