Nataka niende Singida kwa mara ya kwanza

Wadau, naomba msaada wenu kwa wenye uzoefu wa kwenda Singida. Sijawahi kusafiri kwenda mkoa huo na ninataka kusafiri mwanzoni mwa mwezi wa Machi mwaka huu.

Ninaomba kuelekezwa mambo yafuatayo ili niweze kupanga bajeti yangu vizuri.

1. Nauli kutoka Dar hadi Singida Igunga

2. Gharama za malazi guest shilingi ngapi na zinapatikana karibu na stand?

3. Nitafika saa ngapi nikitoka Dar saa kumi na mbili au saa moja asubuhi

Nitashukuru sana kwa msaada walau na mimi nifanye ziara ya siku mbili katika mikoa hiyo maana napasikia tu na sina uzoefu wa kusafiri safari ndefu, kwa hiyo itakuwa safari yangu ya kwanza.

Asante kwa muda wako na msaada wako

Mdau wa JamiiForums

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa ndege ni saa moja tu, kwa gari masaa 11, kwa pikipiki siku 3, kwa mguu sina uzoefu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadau, naomba msaada wenu kwa wenye uzoefu wa kwenda Singida. Sijawahi kusafiri kwenda mkoa huo na ninataka kusafiri mwanzoni mwa mwezi wa Machi mwaka huu.

Ninaomba kuelekezwa mambo yafuatayo ili niweze kupanga bajeti yangu vizuri.

1. Nauli kutoka Dar hadi Singida Igunga

2. Gharama za malazi guest shilingi ngapi na zinapatikana karibu na stand?

3. Nitafika saa ngapi nikitoka Dar saa kumi na mbili au saa moja asubuhi

Nitashukuru sana kwa msaada walau na mimi nifanye ziara ya siku mbili katika mikoa hiyo maana napasikia tu na sina uzoefu wa kusafiri safari ndefu, kwa hiyo itakuwa safari yangu ya kwanza.

Asante kwa muda wako na msaada wako

Mdau wa JamiiForums

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaenda Singida au unaenda Igunga?????
 
Guest house/Lodge/hotels kuanzia 10,000/= hadi 500,000/=?Zipi hizo za laki tano kwa Singida?Ipo moja au zaidi ya moja yenye kiwango cha bei ya laki tano.

Heeeeee!!nijuze nina wageni toka ng'ambo wanakuja Singida soon.

Nauli Ni Tsh 35,000/- hadi Singida/Igunga, Guest house/Lodge/hotels zipo za kumwaga Ila nzuri Ni mbali kidogo na stand kuanzia 10,000/- hadi 500,000/- uwezo wako tu, chakula utakula unachotaka, vinywaji Kama kawa!!!!
Karibu sana mgeni mtarajiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asanteni nyote kwa mawazo na michango yenu chanya. Niwapongeze pia walioamua kujibu kwa kejeli kwa sababu watu Kama hao hawakosekani duniani na wameandika kile wanachofikiri.
Mbarikiwe sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Singida kuna nyumba ya kulala bei laki tano/500,000/=??

Ni ipi hiyo naomba ututajie,acha kutoa like za kipuuzi!!

Soon kuna wageni wangu wanakuja huko kikazi,ni international status.

Au wakati unaandika viroba vya pale Serengeti baa karibu na Singida motel/Furaha Cinema vilishaharibu ubongo wako?

Nauli Ni Tsh 35,000/- hadi Singida/Igunga, Guest house/Lodge/hotels zipo za kumwaga Ila nzuri Ni mbali kidogo na stand kuanzia 10,000/- hadi 500,000/- uwezo wako tu, chakula utakula unachotaka, vinywaji Kama kawa!!!!
Karibu sana mgeni mtarajiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Singida kuna nyumba ya kulala bei laki tano/500,000/=??

Ni ipi hiyo naomba ututajie,acha kutoa like za kipuuzi!!

Soon kuna wageni wangu wanakuja huko kikazi,ni international status.

Au wakati unaandika viroba vya pale Serengeti baa karibu na Singida motel/Furaha Cinema vilishaharibu ubongo wako?
Labda alimaanisha 50,000.
Regency yenyewe sidhani kama kuna chumba cha bei hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wee kichaa vipi, hizo sio levo zako ndo maana unashangaa
Singida kuna nyumba ya kulala bei laki tano/500,000/=??

Ni ipi hiyo naomba ututajie,acha kutoa like za kipuuzi!!

Soon kuna wageni wangu wanakuja huko kikazi,ni international status.

Au wakati unaandika viroba vya pale Serengeti baa karibu na Singida motel/Furaha Cinema vilishaharibu ubongo wako?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We matako kweli kweli.Au nilivyokuwa nauliza ulidhani sijui kuwa Singida hakuna hoteli yoyote hata kwa ndoto yenye bei ya laki tano/500,000/=

Kama kuna hoteli yoyote Singida yenye chumba bei 200,00/= tuambie.

Msiwe mnapenda ujiko wa kijinga.

Eti siyo ya levo yangu,njoo hapa karibu na Meatu hoteli karibu stendi ya zamani/jengo la CCM uje unywe supu acha kumbwelambwela.

Jioni nakupeleka pale mitaa ya Namfua ukachukue walau dada yako moja ukajipoze,leo madereva wa malori sio wengi.

Kesho asubuhi tukaangalie vitunguu vyangu kule maeneo ya Meria,Ikhanoda,Mtinko,Ilongero,Ngamu halafu tunatokea Gawidu tunaenda Mulbadow mpaka Katesh kuelekea Mwamire karibu na Galapo.

Hahahahahaha!!!!

Muhaya At work
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom