Nataka niende Moshi na Boxer X150 nipeni ushauri wakuu

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Jan 1, 2017
20,714
45,098
Nina pikipiki Boxer X150 nataka nitumie kama usafiri kutoka Dar kwenda Moshi Mjini, nipeni ushauri muda mzuri wa kuanza safari, sehemu za kupumzika, nimwage oil kila baada ya Km ngap?

NB:
Sijawahi kufika Moshi kwahiyo itakuwa ndio safari yangu ya kwanza!

Updates:
Nimefika salama Moshi Mjini, nimeenjoy safari yangu vizuri ila kwasasa mwili unaumwa kwa uchovu!
 
Oil badili ukiwa hapo hapo dar tu utaenda na kurudi bila shida
Cha msingi hakikisha tairi zako tu ziwe imara maana lami ikipata moto sio mchezo
Kingine cha ziada anza hio safari saa 11 alfjir ili mchana uwe umeshapiga hatua kubwa ule upumzike jua lipoe kidogo hlf unaamsha tena
Mkuu nakutakia safari njema BOXER naziamini saana ingekua za mchina wala nisingekushauri
 
Nina pikipiki Boxer X150 nataka nitumie kama usafiri kutoka Dar kwenda Moshi Mjini, nipeni ushauri muda mzuri wa kuanza safari, sehemu za kupumzika, nimwage oil kila baada ya Km ngap?

NB:
Sijawahi kufika Moshi kwahiyo itakuwa ndio safari yangu ya kwanza!

pamoja na matairi mapya sijui na oil vaa masweta 5 na majaketi ya baridi ma4
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom