Nataka nianze kucheza mbio za magari Rally-Tanzania

Mr Njovu

Member
Mar 15, 2016
44
29
Habarini,

Kama nilivyosema hapo juu,

Nataka nianze kushiriki mbio hizi, nafahamu humu kuna wadau wa rally sasa nipeni mwongozo pa kuanzia kujiunga na mshindano haya pia wadau wengi mna prefer gari ipi kati ya Subaru impreza wrx na Evo 9 ni moja ya hizo gari hapo nataka nichukue Japan ambayo pia sijajua ni sehemu ipi Dar naweza kuifanyia Tuning na kupata accesories za kufunga kwa ajili ya rally kama hizo.

Racing Pistons
High flow fuel injectors
High capacity oil cooler

na upande wa suspension
Engine Torque Damper
camber kit
Coil-over suspension system

Na gari amabzo hadi sasa niko kwenye mchakato kuzivuta kwa mchezo ni;
upload_2017-7-13_2-55-4.jpeg
upload_2017-7-13_3-11-36.jpeg
upload_2017-7-13_2-58-1.jpeg

Wadau wa rally nipeni mawili matatu muhimu kabla sijafikisha gari moja wapo nchini, asanteni wakuu wenzangu.
 
Attachments

  • upload_2017-7-13_2-54-32.jpeg
    upload_2017-7-13_2-54-32.jpeg
    25.4 KB · Views: 90
  • upload_2017-7-13_2-58-39.jpeg
    upload_2017-7-13_2-58-39.jpeg
    45.4 KB · Views: 84
  • upload_2017-7-13_2-59-0.jpeg
    upload_2017-7-13_2-59-0.jpeg
    45.4 KB · Views: 92
Sina ushauri,nakutakia kila la heri mkuu

from Katesh using Siemens C55
 
Chukua evo9 au 10. Ufunguliwe dog box hapo kidogo utakuwa umeingia kwenye rally....
Ila Kama una uwezo nunua fiesta Kama ya Ahmed uwehl wa Mkwawa.... Hizo ndo gari za rally sasa hivi.... Japo ni Gharama lakini ni rahisi kufabricate na kuingia barabarani.
Nimeiona skoda kwenye rally ya uganda juzi ahmed mwaka jana alikuwa na subaru nafikiri. anyway thanks
 
Haa Skoda kwa sasa hiyo pesa sina, sehemu gani naweza fanya tuning nzuri kwa dar
kama ndio unaanza nakushauri anza na subaru wrx na nasikia hapa Dar kuna wachina wanafanya mapping vizuri tu au unaweza kuwasiliana na mdau mmoja memba humu Lege kwa maelezo zaidi.
 
kama ndio unaanza nakushauri anza na subaru wrx na nasikia hapa Dar kuna wachina wanafanya mapping vizuri tu au unaweza kuwasiliana na mdau mmoja memba humu Lege kwa maelezo zaidi.
Asante pia kuna bwana aliniambia handling ya subaru iko vizuri kwenye barabara nyembamba. hao wachina wako mitaa ipi?
 
Asante pia kuna bwana aliniambia handling ya subaru iko vizuri kwenye barabara nyembamba. hao wachina wako mitaa ipi?
Sina hakika ila kuna vijana wa Tanga kwenye rally ya juzi walifanyiwa na wao gari ilifanya vizuri , wasiliana na huyu Lege ni mtalaam pia.

Sent from my SM-T231 using JamiiForums mobile app
 
Chukua evo10 iko bomba sana

Sent from my Iphone 6 Plus using JamiiForums mobile app
 
Sina hakika ila kuna vijana wa Tanga kwenye rally ya juzi walifanyiwa na wao gari ilifanya vizuri , wasiliana na huyu Lege ni mtalaam pia.

Sent from my SM-T231 using JamiiForums mobile app
Shukurani mkuu
 
Ni vizuri akawasiliana na wanamichezo wenzake... Kama hao vijana wa tanga nk. Hope watakuwa kina jush.

Haswa ile gari imefanya vizuri zaidi kuliko mara ya mwisho Bagamoyo.

Sent from my SM-T231 using JamiiForums mobile app
 
Rally bmoyo aliyeshinda ni sunny... Alifuatiwa na shanto na babu... Gari ya tanga ilikuwa ya kina jush tu. Japo hawakumaliza poa .
Ndio maana nikasema safari hii ya rally ya Tanga gari ilikuwa nzuri kuliko ilivyocheza Bagamoyo. Jumapili tarehe tisa .

Sent from my SM-T231 using JamiiForums mobile app
 
Ndio maana nikasema safari hii ya rally ya Tanga gari ilikuwa nzuri kuliko ilivyocheza Bagamoyo. Jumapili tarehe tisa .

Sent from my SM-T231 using JamiiForums mobile app
Manii ivi babu alipata evo x?
 
Back
Top Bottom