Nataka ni somee softy officer chuo gani kinatoa couz hiyo na ada sh ngapi .plz nataka kujua

Hivi kuna chuo ukiondoa vya ulinzi na usalama wanafundisha Uafisa wowote?
Uafisa si nafasi unayoipata ukiajiriwa?
Mfano: Ukimaliza uhasibu na hujaajiriwa unaweza kujiita ACCOUNT OFFICER?
 
Back
Top Bottom