Aiseee embu tusubiri wajuzi waje tusikie wanatoa chuo gani hiyo kozi ili tuchangamkie sasa hatujajua vilainishi vipi vya train,tractor,buses au 0713...Afisa Vilainishi bila shaka
silent_ocean
Nnaelimu ya darasa LA saba langumbaluUna elimu gani kwanza?
Maana hata ulichoandika hapo hakieleweki.
Au unamaanisha software?
Sent using Jamii Forums mobile app
Jaribu softy careNataka kujua ni chuo gani naweza kusomea softy officer kwa dar.na ada take IPO vip
Softy officer ina deal na nini hiii mpya tuelimishe kidogo tuweze kukushauriNataka kujua ni chuo gani naweza kusomea softy officer kwa dar.na ada take IPO vip