Nataka msaada kuhusu gharama za fremu ya biashara, Karume, Kinondoni au Mwenge

daydreamerTZ

Member
Sep 26, 2020
18
45
Ndugu zangu, yeyote mwenye taarifa kuhusu upatikanaji wa freme maeneo tajwa hapo juu tafadhali share nami taarifa hizo hata kama ni kidogo. Nitashukuru sana kwa michango yenu asante
 
majoto

JF-Expert Member
Jul 19, 2013
2,277
2,000
Inategemeana ni fremu ya namna gani na iko eneo gani. Eneo la barabara kuu frem nzuri kuanzia laki tatu na nusu kwa mwezi na kuendelea.... na hiki ndio kikwazo cha wengi kushindwa kufungua biashara zinazoeleweka na kukimbilia service road wanakofukuzwa kila siku!
 
daydreamerTZ

Member
Sep 26, 2020
18
45
Inategemeana ni fremu ya namna gani na iko eneo gani. Eneo la barabara kuu frem nzuri kuanzia laki tatu na nusu kwa mwezi na kuendelea.... na hiki ndio kikwazo cha wengi kushindwa kufungua biashara zinazoeleweka na kukimbilia service road wanakofukuzwa kila siku!
Asante kama hutojali unaweza kuingia deep kidogo na kutusaidia hayo maeneo ya 350,000 ni haswa wap? Maana naamini kuna sehemu zinazidi hiyo bei mfano kkoo karume nk
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom