Nataka kwenda Msumbiji na DRC kununua dhahabu

MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Nov 28, 2015
28,701
71,035
Wakuu habari,

Naomba kama kuna mtu anafahamu vizuri wapi naweza kupata dhahabu kwa wingi, yenye ubora mzuri na kwa bei nzuri ukiwa ndani ya msumbiji au DRC kongo.

Nahitaji dhahabu kwa wingi maana nimepata soko la uhakika huko Abu dhabi. Naomba mjadala ufanyike hapa hapa jukwaani hakuna haja ya kuni PM.

Asanteni.
 
Ongea vzr upewe ushirikiano
 
Usipoteze muda kama unataka dhahabu njoo kigoma ntakukutanisha na mchungaji mmoja wa congo atakupeleka hadi uvira kuna ndugu zake wameficha hata ukitaka kilo nyingi vipi huwawezi ,uvira ipo karibu na kigoma ukiondoka kigoma saa moja basi saa 9 uko uvira na amani ni tere unafika jion hiyo hiyo una pata mzigo unarudi kesho yake hapa unakodi tu cruiser inakupeleka unarudi
 
Msumbiji Franco ashachukua migodi wale Apollo waliokuwa wanauza wamepungua sana.. Na kule kuuana nje nje
 
Back
Top Bottom