Nataka kwenda kusoma Uganda, je nikasome tahasusi gani?

virgin virgin

Member
Sep 27, 2017
33
125
Acheni kuongea vitu msivo vijua et “hakuna form five" form five ipo na minimum qualification ni D `s tatu tu

ngojea mimi nikushauri kwa matokeo yako hayo kama ni yakwel bora utafute shule ya private usomee hapa hapa bongo sababu elimu ya uganda iko chini sana kuliko nchi zote EastAfrica so hiyo itakuchafulia cv yako


kuhusu combination yakuchagua hiyo nikazi yako wewe mwenyewe pima mambo mawil moja; Ni vision yako ukishajua basi utapata jibu usomee combination gani
pili;Angalia masomo ulio perform vizuri hii inaweza kukupa mwanga wa kujua wewe ni mzuri kwenye kombi ipi kwenda uganda ni kuuwa cv bora uende nchi nyingine
*virginboy*
 

Msuya Jr.

JF-Expert Member
May 31, 2013
1,695
2,000
Kama uko serious nenda shule moja inaitwa Kawanda ipo matuga ukiwa unaenda njia ya Sudan, bonge moja la na elimu ya kikweli,
Halafu nyie mnasema ati elimu ya Uganda iko chini wakati shule wanazosoma watoto wenu sijui inglish midiamu zimejaa form six leaver from kwa M7, na ndio waalimu mnawasifia daily.
Acheni unafki
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom