Kassina
Senior Member
- Mar 3, 2018
- 133
- 131
Nimeangalia vyuo vya south Africa ni too expensive nataka Kuomba makerere university Uganda, Bachelor of Information and security system nimecheki mengi kwenye website yao ya chuo ila nahitaji Kusikia kutoka kwenu wadau Ambao kwa namna moja ama nyingine mmepita apo, mpo Au mnafahamu machche Kuhusu makerere, Nina Diploma ya engineering kwa sasa