Nataka kwenda kusoma nchini china, nina swali ndugu zangu

mhalisi

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
1,181
320
Wadau nataka kwenda kusoma nchini china, bachelor of business administration (bba) kwa miaka mitatu kwenye chuo kikuu kinachofundisha program zake kwa kiingereza.

Naomba kuuliza kama kuna vyuo vikuu nchini china vinavyotoa bachelor degree kwa miaka mitatu ili niapply, nauliza kwasababu nimeona vyuo vikuu vingi vya china vinatoa bachelor degree kwa miaka minne, na mimi nataka kusoma katika chuo kinachotoa bachelor degree kwa miaka mitatu.

Naombeni msaada ndugu zangu kwa mwenye kufahamu.
 
Back
Top Bottom