Nataka kwenda kusoma Makerere university biotechnology. Naomba ushauri

ze keke

JF-Expert Member
Aug 20, 2012
446
500
Mimi ninakipenda sana chuo cha Makerere haswa kutokana na historia yake iliyotukuka. Nataka nikasome Biotechnology degree ili niunganishe masters ya genetic engineering. Wadau naombeni ushauri. Kuhusu ada na matumizi nmejipanga. Pia kuhusu vyuo vya bongo kuna matatizo nlipata nkiwa nasoma MD bugando so nkasimama masomo. Choice nliyonayo nkusoma Makerere ili baadae niwe lecturer.
 
The Gentleman Pirate

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
1,327
2,000

hongera aisee..na mimi mwaks huu naingia makerere...kwa ada haizidi 2m,meals n stationary 200-300k per month,,accomodation 600k-1.2m per semester,,,application zinaanza mwezi wa 5 mwanzoni ila cheti chako cha form 4 na 6 inabidi uvifanyie grade equation UNEB kabla ya application..n for international students application inabidi uende physically chuoni..
 
GUSSIE

JF-Expert Member
Dec 2, 2014
3,479

Poor thinking
 
BOD

JF-Expert Member
Oct 13, 2016
222
250
Duh mmegoma kunipa ushauri wadau
ungekua umeomba uxhaur wa kusoma udsm comment zingekua zimefika 100. ndo ujue ss wtz tumekarir sn,,any way mdogo wng eb ingia kwenye website ya chuo taarifa zote mhm utazipata hpo.
 
Nfumu

JF-Expert Member
Nov 13, 2016
611
1,000
jamii forum sometimes inawatu wake wewe unaweza ukapost kitu ili upate ushauri lakini watu wakaipita tu lakini wengine wakipost kitu nusu SAA kubwa watu washajazana kujibu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom