Nataka kwenda kuanza maisha Karagwe, Kagera. Wazoefu nipeni ABC

kofia ya plastiki

JF-Expert Member
Jun 9, 2019
416
404
Kwanza poleni na changamoto za kutafuta riziki, Husika na Kichwa hapo juu ninatarajia kwenda kutafuta maisha mkoa wa kagera wilaya ya karagwe tafadhali wale wenyeji ama waliowai kuishi hayo maeneo waniambie changamoto na ubora wa hayo maeneo..
 
cost of living za kawaida tu chumba kuanzia elfu 20 na kuendelea kulingana na uzur wa nyumba, kuna starehe balaa, vyakula bei rahisi sana
 
Karagwe ni sehemu nzuri, ingawa itategemea unaenda kufanya nini, una uwezo gani kielimu, kifikra, kiuchumi na malengo/madhumuni ya kwenda huko.

Shughuli za uchumi ni kilimo, ufugaji(ng'ombe, mbuzi, kuku, nguruwe). Tabia za watu ni wakarimu sana ila wanajibeba fulani hivi.
Kwanza poleni na changamoto za kutafuta riziki, Husika na Kichwa hapo juu ninatarajia kwenda kutafuta maisha mkoa wa kagera wilaya ya karagwe tafadhali wale wenyeji ama waliowai kuishi hayo maeneo waniambie changamoto na ubora wa hayo maeneo..
 
Karagwe ni sehemu nzuri, ingawa itategemea unaenda kufanya nini, una uwezo gani kielimu, kifikra, kiuchumi na malengo/madhumuni ya kwenda huko.

Shughuli za uchumi ni kilimo, ufugaji(ng'ombe, mbuzi, kuku, nguruwe). Tabia za watu ni wakarimu sana ila wanajibeba fulani hivi.
Elimu ya chuo naenda kusaka ajira pamoja na kujishugulisha kilimo na biashara Mungu akipenda
 
Back
Top Bottom