Seneta Wa Mtwiz
JF-Expert Member
- Sep 23, 2013
- 3,601
- 4,087
Mkuu,Sisi tunaenda zanzibar na mitaji yetu ya laki 5
Ni biashara gani waenda kuifanya Zanzibar?
Niko interested na hicho kisiwa!!!
Mkuu,Sisi tunaenda zanzibar na mitaji yetu ya laki 5
Mkuu,
Waweke bna
Kwani ticket namalazi ni itacost kiasi ganiSasa hiyo TZS 20 million ukitoa ticket na malazi unabakiwa na nini?
Nairobi nimeenda mara kibao nahitaji kwenda sehem nyingine nione itakuwajeMkuu,, mtaji mdogo Sana,, nenda Nairobi utapata mzigo
Mkuu hauwezi ukanipatia hivyo 20m nikakamilishia mipango yangu
Unaweza kununua hiace kwa hiyo pesa, ukiendesha mwenyewe uwezo wa kulaza 80-100 kwa siku unao kwa 100%.20m ndo uende Dubai au china?
au unataka kwenda kutembea?
simu aina gani? kama unanua smart phone za laki mbili 20 unanunua simu ngapi?
una duka atayari au ununue ndo uanze tembeza?
Binafsi naona tafuta biashara ingine hapa ya uhakika mtaji hata 15m
5m nenda Dubai katembee ujionee na ujifunze
15 M hata Kkoo kwa wauzaji wa jumla unaweza pata faida
Kweli mkuu hata akiitenga nzega-kahama pesa nyingi tu atapataUnaweza kununua hiace kwa hiyo pesa, ukiendesha mwenyewe uwezo wa kulaza 80-100 kwa siku unao kwa 100%.
Shukuran kwa mchango wako ila sipendi kabisa kazi hizoNenda china mkuu upate exposure, hata Kama vpi hutakosa bidhaa kidogo za kurudisha nauli yako.
Kwan simu zenye solo ni zipiKwa hiyo unamshauri akanunue simu za kuuza kwa mafungu au kilo?
Kwangu hii ndiyo ushauri mzuriKiongozi nenda china ndio uwakika. Na pia usikatishwe na hao GT P SALALY. Iyo ni pesa ndefu sana kwa kufanya bznes zako china.
Mm nilitishwa sana mwanzoni mwa mwaka huu kuhusu kufata mzigo flani Dubai hatare mara kwa mtaji huo ni nauli na malazi tu mara kama unaenda kutembea sawa.
Ila baada ya kufika nilicheka sana mambo yako tofauti kabisa. Na kila mfanya bznes kama yangu nilie kutana nae na wazoefu uko Dubai wanasema mbona umekuja na kiasi kingi kwa bznes hii.
Tafta marifa sahihi kisha lianzishe mdau. Pambana tu kiongozi
SALALY ndiyo nini mkuu? rudi shule hata ya watu wazima unatuaibisha mabahariaKiongozi nenda china ndio uwakika. Na pia usikatishwe na hao GT P SALALY. Iyo ni pesa ndefu sana kwa kufanya bznes zako china.
Mm nilitishwa sana mwanzoni mwa mwaka huu kuhusu kufata mzigo flani Dubai hatare mara kwa mtaji huo ni nauli na malazi tu mara kama unaenda kutembea sawa.
Ila baada ya kufika nilicheka sana mambo yako tofauti kabisa. Na kila mfanya bznes kama yangu nilie kutana nae na wazoefu uko Dubai wanasema mbona umekuja na kiasi kingi kwa bznes hii.
Tafta marifa sahihi kisha lianzishe mdau. Pambana tu kiongozi
Sawa Khadija...mzima lakini?Watanzania wengi ni watu wawivu mno
1. Nauli kwenda na kurudi: USD 1,200
2. Chakula kwa siku: USD 22
3. Hotel Single Room: USD 50
4. Nauli ya mizunguko town: USD 49
(Taxi+Metro+Daladala)
5. Mzigo wako unaotaka kununua: (Na
hii tukupe jibu?): Minimum USD3,500
Unaweza kununua hiace kwa hiyo pesa, ukiendesha mwenyewe uwezo wa kulaza 80-100 kwa siku unao kwa 100%.